Alpha Blondy - Zenith Paris - Mai 2009. Nitapata wapi album hii?

Alpha Blondy - Zenith Paris - Mai 2009. Nitapata wapi album hii?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,126
Waungwa wa JF,

Naipenda sana kazi hii ya Alpha Blondy. Nimeona baadhi ya nyimbo youtube sasa nahitaji album nzima. Nitapata studio gani kwa Dar?
No matter who win, Liberia is crying
No matter who loose, Liberia is crying
No matter who is right, they have to stop the fight
No matter who is wrong, the devil is strong

This is a very strong massage when it comes to war, especially Civil War ambayo inanukia Tanzania. Mwaka 2015 hapo wakifanya wanavyofanyaga miaka yote kasoro 2010. Nani atakubali na matokeo yake itakuwa ni nini?

Nisaidieni
 
nyimbo zote za Alfa Blondy ziko available tu nenda kwenye vibanda vya waburn cd ukiwa naflash yako ukazizoe mkuu
 
Back
Top Bottom