[emoji23] [emoji23] [emoji23]We Kenzy wewe, haya. Sheria inaanza leo ya mitandao na vyombo vya habari hivyo mi sichangii tena mambo ya siasa. Udaku nao nilishapita, sasa sijui nijiunge na mshana jr. tufanye ulozi tu? Mimi nipo duniani nazunguruka kama pia.
Ha haha nimetumiwa huo ujumbe na barua ya Govt. attached.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jr[emoji769]
Tobaa.. siasa utazungumza tu! kwa mambo yanavyoenda lzm utanena tu hakuna namna..We Kenzy wewe, haya. Sheria inaanza leo ya mitandao na vyombo vya habari hivyo mi sichangii tena mambo ya siasa. Udaku nao nilishapita, sasa sijui nijiunge na mshana jr. tufanye ulozi tu? Mimi nipo duniani nazunguruka kama pia.
Nadhani naye mshana ni mhanga wa huu uchawi! Aliyeturoga wabongo itachukua vizazi vitano mpaka huu uchawi uishe kwenye DNA zetu. Tuanzie uchawi wetu ulianza 85 hivyo kila mtu aliyekuwa hai wakati huo mpaka vizazi vyake vitano ndo watakuwa sawa. Nakushauri usizae maana laana bado tunayo vizazi vitano. DNA haifutiki.Tobaa.. siasa utazungumza tu! kwa mambo yanavyoenda lzm utanena tu hakuna namna..
ati mshana anataka jukwaa la ulozi!! naona sahivi amepewa uenyekiti!.
kama hutaki siasa kuna jukwaa la mapenzi,tech,intelijensia,ujasiliamali na biashara nakushauli uende huko,huko kwenye ulozi wataka kumroga nani..? maana mdogo wako alifunguliwa uzi humu ati watz tumerogwa na mshana!!!
he he! ati nisizae! mwanaume nazalisha mwanamke anazaa daktari anamsaidia mzaaji!.Nadhani naye mshana ni mhanga wa huu uchawi! Aliyeturoga wabongo itachukua vizazi vitano mpaka huu uchawi uishe kwenye DNA zetu. Tuanzie uchawi wetu ulianza 85 hivyo kila mtu aliyekuwa hai wakati huo mpaka vizazi vyake vitano ndo watakuwa sawa. Nakushauri usizae maana laana bado tunayo vizazi vitano. DNA haifutiki.
We kenzy una mtoto halafu unaongea kama ndo uko kwenye teen age? Siku nikikutana na wewe nakuzabua vibao. Ha haha natania ila nitakuroga ninaanza kozi next week kama mwalimu atakubali karo yangu.he he! ati nisizae! mwanaume nazalisha mwanamke anazaa daktari anamsaidia mzaaji!.
kwanza ulininyima yule binti! sahivi namtoto wa kinyamwezi mtamu asoisha hamu!
dunia hii usipokuwa na mtoto hawachelewi kukuita nyoka wakibisa! yanini nilaze damu wkt wanaimba mwanaume mashine!, huo ulogi wenyewe uendelee tu utafutika karne zijazo chata zangu zitakuwepo wakiendeleza kuliamsha dude..😀
TOBAAA...!!We kenzy una mtoto halafu unaongea kama ndo uko kwenye teen age? Siku nikikutana na wewe nakuzabua vibao. Ha haha natania ila nitakuroga ninaanza kozi next week kama mwalimu atakubali karo yangu.
Basi nimekusamehe bure. Lugha na umri sawa. Sikurogi tena ila sijapata shule bado. Basi yule binti saizi yako angekuwa maana ndo umri wako. Haha naye ana mchumba sasa hivi.TOBAAA...!!
bibi umeanza kuzeeka vibaya mimi bado hata 25! mwakani ndo 22!! ulikuwa hujui.. duh! uniroge kisa nini tena wkt kwangu kukavu tia mchuzi!
kama mambo ndo hivyo naenda zimbabwe...vyuma vikazwe kurogwa nirogwe😱😱
Unafikiri huyo mchumba anamfaa..?Basi nimekusamehe bure. Lugha na umri sawa. Sikurogi tena ila sijapata shule bado. Basi yule binti saizi yako angekuwa maana ndo umri wako. Haha naye ana mchumba sasa hivi.
Makinikia hayo ndugu yangu
Jr[emoji769]