hatarious
[emoji24][emoji24]Aisee.. huyo kimwana ni shida ya jiji!
almasi zilizotoloshwa zimefaidisha wengine
Wezi au watu wasiojulikana? cc. mshana jr.mshana jr huyo demu una namba zake, nataka nimtoroshe kabla ya wezi wa nchi/serikalini hawajamuona.
Huyo wa juu anajifungua lini na hospitali gani? Napenda niwe muuguzi wa zamu siku hiyo. Mdogo wangu una vijitu vizuri vya kuondoa stress. Big up my mdogo.
Endelea kutupa raha. Nitakupm lakini sitegemei kuja karibuni, si unajua tena? Hapa kazi tu.Asante dada shikamoo! Naona hatukuonana kabisa
Jr[emoji769]