Almanusura mtoto atolewe kafara

Almanusura mtoto atolewe kafara

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,143
Reaction score
831,815
Mnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.


Jr

Update
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
 
Back
Top Bottom