ze encyclopedia
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 316
- 180
mmmmmmh, na ungemkuta hg hana nguo kabisa, ingekuwaje?
Hata kabla sija-post nilijua wengi hawataamini kabisa lakini huu ndo ukweli wenyewe,hg mwenyewe ni kabila la akina bujibuji halafu anajifanya mlokole.
kasheshe!!!
Mkuu, tafadhali usiwe na tabia ya kuingia kwa chumba cha beki tatu. katika mazingira ambayo kunahitajika msaada wa mtu mzima humo, mwambie wife aende kucheki kuna nini. ingia tu iwapo ni lazima kufanya hivyo... hayo masuala ya kunyatia usiku kwa kisingizio eti mtoto alikwua analia yatakuja kukuharibia siku mojaNikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!
Mkuu kamwe sintorudia,wala sina haja ya kuonywa,nilibugi step ile mbaya,nilikuwa na akili zangu za usiku.Mkuu, tafadhali usiwe na tabia ya kuingia kwa chumba cha beki tatu. katika mazingira ambayo kunahitajika msaada wa mtu mzima humo, mwambie wife aende kucheki kuna nini. ingia tu iwapo ni lazima kufanya hivyo... hayo masuala ya kunyatia usiku kwa kisingizio eti mtoto alikwua analia yatakuja kukuharibia siku moja
Chakula hiyo,umeshaiweka kwenye reli.Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!
eti kwann unamlaza mtoto na hg kwan hg ni mbwa ama?...binadam wengine bana