Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

kwa nini una mazoea ya kuingia chumbani mwa HG wako huoni kwamba si sahihi
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
Mkuu wangu ulijuaje HG anajifanya mlokole !.Nilitaka kuamini the whole story but aka kamstari ka mwisho kameniacha hoi bin taabani.

Hata kabla sija-post nilijua wengi hawataamini kabisa lakini huu ndo ukweli wenyewe,hg mwenyewe ni kabila la akina bujibuji halafu anajifanya mlokole.
 
Au labda una mazoea hayo ndio maana unakuwa na wasiwasi? Tupe dossier inayoeleweka ka mchezo wako
 
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!
Mkuu, tafadhali usiwe na tabia ya kuingia kwa chumba cha beki tatu. katika mazingira ambayo kunahitajika msaada wa mtu mzima humo, mwambie wife aende kucheki kuna nini. ingia tu iwapo ni lazima kufanya hivyo... hayo masuala ya kunyatia usiku kwa kisingizio eti mtoto alikwua analia yatakuja kukuharibia siku moja
 
Mkuu kamwe sintorudia,wala sina haja ya kuonywa,nilibugi step ile mbaya,nilikuwa na akili zangu za usiku.
 
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!
Chakula hiyo,umeshaiweka kwenye reli.
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
Watu wengine wanafanya mambo ya hatari kweli. Kwanini uliamua kuvamia chumba cha hg wako bila hata kubisha hodi. Ungemkuta uchi?. Kuwa makini, shetani naye ana nguvu.
 
We Jaguar, huyo housegirl ana umri gan#? haiingii akili uingie kwenye chumba cha dada wa kazi bila hodi! UTAKUWA UNAFANYA MAMBO.
 
Mungu alikua na wewe kwa sababu hukuwa na hila. Siku nyingine kuwa makini asije shetani akawahi akafanya vitu vyake. Pole mkuu
 
eti kwann unamlaza mtoto na hg kwan hg ni mbwa ama?...binadam wengine bana

jaguar hauko makini kabisa kwanza hg anatumia shuka moja na mtoto iloilo inaonyesha ulivyo na mashuka ya kujinyima.mpatie mtoto shuka na kitanda chake na awe na net yake hutasikia mtoto akilia usiku.na huyo hg akiamua kumwambia mkeo baba aliingia usiku huoni pia tatizo?we sema hakusikia tu.maana sasaivi utakuwa unajishauwa usiku kumwambia mkeo akawaangalie wakati siku za nyuma unauchapa usingizi.hg akiwasha cheche utuambie tena mamito kasemaje.
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
Kiukweli una kosa hata kama nia yako ni nzuri huwezi kwenda chumba cha hg wako bila hodi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom