Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

kwa nini una mazoea ya kuingia chumbani mwa HG wako huoni kwamba si sahihi
Wala sio jadi yangu your majesty,nadiriki kusema ni nguvu ya shetani.
 
Lakini kwa nini chumba cha hg wako uingie hata kama ni dharura kwa nini usimwamshe shem kama ulikuwa huna nia mbaya na huyo hg wako
 
Lakini kwa nini chumba cha hg wako uingie hata kama ni dharura kwa nini usimwamshe shem kama ulikuwa huna nia mbaya na huyo hg wako

hilo swali nina uhakika ndo lingekuwa kama wimbo kwa my wife wake. Duu pole sana lakini mkasa wako umetuelimisha wengi humu jukwaani
 
hg watamu bana maana hawachezewi sana!tena umpate mbulu,msambaa,mgogo,mnyaturu,mhehe,mmeru etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom