Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

we jaguaaaarrrrr...!!!! we sema unamtamani hg wako yaishe... waleta siasa hapa.. Ok na ulivyomfunua alikua kavaa nini.. ? au ndo usiku kucha ukawazia utupu wake.. kina mama kazi mnayo.
 
Ulikuwa na lako jambo iweje wewe usikie na aliyelala nae asiskie? Chunga sana
 
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!

Huyo hg ni shemeji yako pia? Msingi wa kukuita shemeji unatokea wapi? Mkuu kama hii story umeipika vile!!!!!
 
Huyo hg ni shemeji yako pia? Msingi wa kukuita shemeji unatokea wapi? Mkuu kama hii story umeipika vile!!!!!
Si unajua tena mabeki 3 wengi huwa wanawaheshimu wake zetu kama dada zao,kwa hiyo huyu gael clichy wangu alikuwa anamuita mke wangu dada kwa heshima na pia mimi huwa ananiita shem.
 
Pole sana mkuu..siku ikitokea hivyo mtaarifu my wako wako akawacheki mambo maana hawatakuelewa eti ulikuwa unacheki net na mtoto hajafunikwa net?.ni jukumu lako kama mzazi lakini lakini kutoka na jinsia na heshima ndani kama baba kuingia chumba cha beki3 wakati amelala si kabisa...labda ungegonga kwanza mlango ili waamke wote ndipo uingie uulize nini tatizo mbona mtoto analia? huyo hg wako poa ana element za mawazo machafu.au alishashtukia unamzea mate nin mkuu basi alipokurupuka usingizini anajua leo ndio nimeingizwa kwenye 18? tehe tehe tehe...joke.ni kwamba kusingekuwa na sababu za yeye kukurupuka na kusema sitaki hivyo, wife angesikia mkuu hakuna namna ungeweza kubadili uelewa kwa wife. lazima angejua ulienda kumnyemelea beki 3. basi kwa kusema hayo yote akina baba tusijenge mazoea au ukaribu sana na hawa beki3, kuwepo na mipaka ili heshima na hisia za kutakwa kimapenzi sifutike kwenye vichwa vya hawa beki 3 japo kwa upande mwingine ndo wanaoshingilia uhai wa ndani ya familia. siku wakiamua kuteketeza familia nzima ni dakika chache na anasepa,tuwajali pia na kuwaona ni moja ya wanafamilia nadhan kwa kufanya hivyo heshima itakuwepo.
 
Mkuu ingekula kwako vibayaa...dah! Ila kama nahic vi2 tofauti hivii anyway ...pole mkuu.
 
hamna cha kasheshe walanini alifuata nini huko siangeenda kumwamsha my wife wake aendeakamwangalie mtoto.kihelehele kingemponza.kesho usirudie tena.

nimesema kasheshe kwa kuwa hata kesho yake mtoto angeweza kumwambia mama yake kuwa usiku dad alikuja chumbani kwetu ..unadhani bado usalama ungekuwepo?
 
kama ni mimi, nenda kumuamsha wife na kumwambia aende kumwangalia mwenetu Elvis maana analia......................ni marufuku mwanamume kuingia chumba cha HG akiwa amelala, je ukimkuta uchi, utasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom