Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

Almanusra niumbuke kwa hg wangu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!
 
Una uhakika kweli jaguar?aisee mm nitamtonya shem,labda ucme ukweli...teh teh teh teh...!
 
ni true story mkuu na wala sikuwa na lengo baya,basi tu.
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
Hata kabla sija-post nilijua wengi hawataamini kabisa lakini huu ndo ukweli wenyewe,hg mwenyewe ni kabila la akina bujibuji halafu anajifanya mlokole.
 
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na housegirl wangu akilia.Nikachukua uamuzi wa kuingia chumba cha hg wangu nikamkuta mwanangu amesahaulika,hajafunikwa shuka,neti imechomoka,mbu wanamtafuna mwanangu,hg kajifunika yeye tu.Kosa nililofanya ni kuvuta upande wa shuka aliojifunika hg ili nimfunike mwanangu,weeeee! Alikurupuka ghafla,aliponiona akaanza kupayuka;'shemeji sitaki ivo,ushindwe na ulegee'.Ninachoshukuru wakati yeye akipayuka ivo,mi nilikuwa busy kumfunika mwanangu kisha nikamwambia aweke net vizuri halafu asimsahau tena mtoto kama alivyofanya hapo kabla.Hapo ndipo Jaguar nikaeleweka,binti akatuliza mzuka na kuendelea na usingizi.Bahati nzuri wakati binti akipayuka vile,wife alikuwa kalala fofofo na wala hakustukia ule mchezo.Sijui ingekuwaje angemsikia hg akipayuka halafu anikute nikiwa chumbani kwa hg,duuh nimekoma!

Siku nyingine uwe unapiga hodi,na usubiri ukaribishwe ndo uingie!na hiyo room ya hg uondoe hilo pazia uweke mlango ili awe anaufunga kwa komeo na ufunguo!
 
Angalia isije ikaja siku ukategewa mtego na hg maana siku hizi hawaaminiki,pia usizoee kuingia chumbani kwa hg wako na muache mkeo adili na mambo hayo.
 
Nimejifunza kupitia kosa langu.
 
Marufuku kumlaza mwanao na housegirl....................iwe ni marufuku ya mwisho nasema!:embarassed2:
 
hakikisha unamshirikishe wife kabla ya kuvamia chumba cha h/g......wakati mweingine utashindwa kujibu hoja
 
mimi naamini kabisa ni kitu kinaweza tokea.... Una bahati wife hakushtuka, huo ugomvi angesuluhisha nani sijui.
 
Kwanini unamlaza mtoto na hg?anyway cjui mazingira unayoishi ila ungemuamsha mke wako akaangalie mtoto analia nini? Matatizo mengine co mazuri
 
Duuuu, chandarua inafunika nusu ya kitanda, hii ni kali. Nashauri mpige chini huyo hausgel kwani malaria itaweka kambi kwa mwanao.
 
eti kwann unamlaza mtoto na hg kwan hg ni mbwa ama?...binadam wengine bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom