Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Ali mayai tembele alisoma ununio Islamic seminary.
Alipata sifur A LEVEL
Akaenda kusoma CBE Kwa matokeo ya O LEVEL na kujiendeleza zaidi
Sasa ana masters ya BUSINESS ADMINISTRATION toka mzumbe
Yuko vizuri.
 
Yuko vizuri.
Anatokea familia ya wana TISS. alisoma shule moja na saidi mtanda (Rc mwanza) mwana FA na Bashe. Sina hakika kama alijiunga na TISS au la lakini uwezekano ni mkubwa. Itakuwa shughuli pevu mana karia nae ni TISS
 
Ali mayai tembele alisoma ununio Islamic seminary.
Alipata sifur A LEVEL
Akaenda kusoma CBE Kwa matokeo ya O LEVEL na kujiendeleza zaidi
Sasa ana masters ya BUSINESS ADMINISTRATION toka mzumbe
Hiyo kwa traits za nchi hii wala sio tatizo na kikubwa kama hajafoji vyeti.
Ndio maana JPM hakuwahi kusema wasio na elimu au std VII waondolewe kaizini bali tatizo lakee lilikua wa wenye vyeti feki.
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Ila siasa bhana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Anatokea familia ya wana TISS. alisoma shule moja na saidi mtanda (Rc mwanza) mwana FA na Bashe. Sina hakika kama alijiunga na TISS au la lakini uwezekano ni mkubwa. Itakuwa shughuli pevu mana karia nae ni TISS
Mhasibu wa wa serikali Karia huyo sina shaka naye na huo upande mwingine. Kiuhalisia kuna nafasi kwenye taasisi sio za mtu ilimradi mtu.
 
Kwa nini usingeandika tu kiswahili?? Kudedicate muda kwenye soka ndo kufanyaje?? Neno dedication limeingiaje ktk sentensi yako??
Dedication, in its core meaning, signifies a deep commitment and devotion to a cause, person, or task. It implies a strong sense of loyalty and purpose, often involving significant time, energy, and effort
 
Alipata zero...so whaat? Haituhusu sisi..maana tunachoangalia sio matokeo ya mwisho wa masomo..tunaangalia matokeo ya kila siku ya kazi zake....na kwasababu hiyo yeye ndio mgombea mshindi wetu....
Nimejiquote
Hii ilikua 2017...leo 2025 nitampigia kampeni kimaster kabisa
 
100 percent true..wewe jamaa utakua nani
Anatokea familia ya wana TISS. alisoma shule moja na saidi mtanda (Rc mwanza) mwana FA na Bashe. Sina hakika kama alijiunga na TISS au la lakini uwezekano ni mkubwa. Itakuwa shughuli pevu mana karia nae ni TISS
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Alisoma A-level Jitegemee Secondary School na alimaliza mwaka 1999
 
Back
Top Bottom