Ally Kiba Awasili Kariakoo

Ally Kiba Awasili Kariakoo

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,455
Reaction score
6,465
Ally Kiba Awasili Kariakoo
1732010922727.jpg
@ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
 
Hatari sana, hebu tuwe serious kidogo na hizi show-off.

Yaani kaghorofa tu kamoja kameanguka hapo Kariakoo baaada ya wahusika kufanya kazi chapuchapu na kuokoa wahusika hapo chini na kuclear eneo na mambo mengine yaendelee tunaanza kuleta usanii.
 
Kesho utasikia na Hamis Mobeto nae anakwenda hapo, keshokutwa Diamond.

Hili ni eneo ambalo uokozi unatakiwa ufanywe chapuchapu kuokoa walio hai na kutoa maiti zote, then eneo liwe cleared baadala ya kuleta mbwembwe na showoff.
 
Back
Top Bottom