Ally Hapi: Siwezi kulazwa nje tena

Ally Hapi: Siwezi kulazwa nje tena

Hio habari ni kweli walimtimua Alhamisi balozi huyo bwana Bart Ouvry ambae ni raia wa Ubelgiji ambayo ni mkoloni wa zamani wa Congo DR.

Ni baada ya balozi huyo kuwa mstari wa mbele kunishinikiza kutaka mgombea uraisi wanaemtaka wao na sio bwana Emmanuel Ramazani Shadary ambae raisi wa sasa Joseph Kabila amemchagua kuwa mgombea.

Shadary alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani.

Kilichofanyika ni kumfukuza balozi huyo ndani ya masaa 48 baada ya balozi huyo kushinikiza kuongeza vikwazo kwa viongozi wa COngo DR akiwemo Shadary.

Kilichofanyika ni kupa za uso balozi huyo mbele ya kikao cha waziri wa mambo ya nje wa Congo Dr na mabalozi aloaita wizarani na ktanganza kwenye televisheni kabisa kwamba jamaa apakie mabegi yake na aondoke.
Pimbi ni pimbi tuu, yaani unafurahia rais kuhakikisha huyo Kibaraka wake anachaguliwa ili aendelee kutawala kwa rimoti???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom