Siku hizi Hakuna 'Mafundi' Ndio maana Vitoto vidogo vinachonga Sana
Kambarage Mwenyewe Na Jeuri yake yote ilikuwa akifika Kwenye Mkoa wenye 'Wenyewe' halali kabla ya kwenda kusalimu Wazee
Kuna Vitoto havijui Hata historia ya 'Wazee wa Mkoa wa Dar Es salaam' wale wenyewe wenyewe achana Na Hawa Makanjanja wa Siku hizi wakiitwa Wazee wa Mkoa wa Dar Es salaam unamuona Lemutuz Dimind jubilee pamoja Na kina Askof Kakobe ( niliwaona Kwenye Mkutano wa Mwisho wa Jakaya kuongea Na Wazee wa dsm akiongelea Escrow 2015)