PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari.

"Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es Salaam kupitia ilani ya miaka mitano iliyopita, inayokuja tunajenga treni za mjini (Metro) Dar es Salaam na Dodoma kukabiliana na foleni. Watu watatoka Tegeta, Kivule, Gongo la Mboto n.k watatembea na treni za mjini Dar es Salaam," amesema Hapi

Ameyasema hayo leo Juni 5, 2025, wakati akichangia mada katika Kipindi cha Mada Kuu cha TBC1.

View attachment 3357698
Tapeli.

Kwa pesa ipi
 
Back
Top Bottom