Kutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.
Binafsi napendekeza Ally Hapi DC wa Kinondoni amrithi mzee Kinana huyu kijana ni mchapakazi na hana makandokando na mcha Mungu.
Pili ameonyesha ukomavu wa kisiasa pamoja na kupewa kuongoza wilaya yenye changamoto nyingi.

.....sema unatania mkuu.