Ni mkulima, sio mbeba magunia yaani kuli.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Wewe akili yako ni kisoda na kama hujui maisha ya mtandaoni ni vise versa ya maisha halisi. Huyo ana act kwamba anahusle but in real sense anaosha pesa yake iwe halali. Ukizinduka usingizini utamkuta ni motivation speaker wa wakulima "kwamba nilianza na nusu heka now na kiwanda cha kusindika"Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Hiyo ni kiki tu. Je shamba alipata kihalali wakati ni RC Iringa? Maandalizi ya shamba aliyatekeleza kwa hela yake au kwa nafasi alokuwa nayo? Leo tunamsifu bila kujiuliza uhalali wa kulipata? Hakuna mnyonge aliumia? Umeme wa TAA NE SKO uliendaje? Maji ya Iriwasa yalienda kihalali? Alilipia wapi?Jamaa kaandika hali ya kua Hapi anapiga mishe zipi. Laiti angejua kua mwamba anaishi hilo life kama Kiki.
Huyo jamaa anapiga hela hasa tofauti Kabisa na unavyofikiri. Heka 1 ya nyanya inaingiza kiasi gani jiulize Mwamba anamiliki hekari ngapi Tena analima kisasa. Mwamba ni Mkulima wa Kati anaelekea kuwa Mkulima Mkubwa Wakati wewe unashangaa Jamaa kubeba gunia utakuja kushituka mwenzako ni Bilionea . Utumishi wa Umma ni kuitumikia Nchi lakini kumiliki Biashara ni kuwezesha Nchi kupata Kodi.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Huo ni mpasho hujui jamii anayotokea ni jamii ya mipasho, anatamani angeimba hata taarabu hapoHaijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Ni mnafiki na mzandiki sana ndio maana kule kwetu Iringa alijikuta akiamkia makaburini akiwa uchi wa Manunu (uchi wa mnyama)Yuko vizuri ni mfano wa kuigwa sema alifanyiwa mizengwe tu.
Pinga Pinga fc mna kazi kweli kweli. Yaani Tanzania nzima unafuatilia maisha ya Ally tuu.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Nanani?Yuko vizuri ni mfano wa kuigwa sema alifanyiwa mizengwe tu.
Hakuguswa popote alivyoamka uchi wa mnyama?Ni mnafiki na mzandiki sana ndio maana kule kwetu Iringa alijikuta akiamkia makaburini akiwa uchi wa Manunu (uchi wa mnyama)
Mzigo mzito mpe mnyamwezi. Nae ni mnyamwezi pia.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Mimi naona atafakiwa kimaisha zaidi huyu jamaa kuliko angekaa miaka mingi zaidi kwenye U-RC.Kama hujui,mfanyakazi yeyote wa wa kawaida kama hakuwa mwizi akiwa kazini,basi akistaafu huwa anategemea ujasiliamali ili kumalizia maisha yake yaliyobaki.kwa yeye ameanza ujasiliamali mapema kabla ya kuzeeka. trust me,huyu sasa anaishi maisha huru sana na analala usingizi mzuri kuliko waziri mkuu.Na najua pia alishajua kwamba U-RC ni kuti kavu,so alishaandaa plan B. Binafsi namheshimu sana mtu yoyote anayeendesha maisha yake kwa ujasiriamali.Huyo ni msomi zaidi wa life skills kuliko profesor.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744