Muuza sura tu hana loloteHaijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Haswàaaaaaaaaaaa!Hapi huyu huyu aliyewakejeli WASTAAFU kina KINANA na MAKAMBA?Kweli Wahenga walinena MDOMO ULIKIPONZA KICHWA
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Kwa haraka investment ambayo ameifanya akili yangu hainipeleki kwenye kuamini kiki, hizo kiki zitamgharimu mwenyewe, my positive mind inaniambia you should believe in hard work and again hard workJamaa kaandika hali ya kua Hapi anapiga mishe zipi. Laiti angejua kua mwamba anaishi hilo life kama Kiki.
Mbona ulaya makocha wanalipwa baada ya kufukuzwa.Duh wee Ni nchi gani alipwe kwa lipi
Mshahara unakoma pale tu unapopoteza kaz
Elewa swali nimeuliza !!!Elewa kilichoandikwa
"Kabla hujafa hujaumbika."
Uandishi wako umekaa kishambenga hata umepoteza lengo.
HakikaHajui maana ya hiyo nahau.
Sasa hapo Kuna ubaya gani? hiyo ni kazi ya kiume, jasho, sasa wewe unashangaa! We unataka aendelee kuwa chawa, ass kisser, mlamba miguu, praise and worship team ili apate uteuzi, kama anavtofanya Kafulila?Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Unategemea nini kama huyo mtu anapokuwa na madaraka anawaona wale walioko chini kama hawana maana?!!ndio matakeo yake anapoanguka lazima wafurahie kwani wangapi wanaanguka lakini watu hawawasemi?Watu mnapenda kuona Anguko la watu msio wapenda
Alichezea ndevu za wazee. Anajichanganya kwa wakulima ili wasahau. Moto anaochea Sabaaya sio wa mchezo.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Afu ukute anaesema hivyo ni mtu anakula na kulala kwa shemeji yake.Hapo mtu anapiga ela wewe unasema hujafa hujaumbika.
Mwanzako anapiga kazi wewe unasema hujafa hujaumbika.Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.