Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,020
- 26,199
Wakulima wadogo wanaweza kulisha nchi, aacha upuuzi na mawazo ya kimaskini, anayelima na kuvuna chini ya hekari 3 ni mazao ya kula yeye na familia yake.Tena anayelima eneo dogo zaidi ndiye anatufaa zaidi maana anajua changamoto za wakulima wadogo ambao ndiyo wengi. Hivi mlikatazwa kufikiri kimantiki?
WatatufaaJuma mkole majaliwa
Zuberi marandu
Mwajuma mkama
Hebu anza na hao
Chini means chini ya CEo nilimaanisha sio unskilled labourUlisema kuna watu wachini wanafanya vizuri ndiyo nikakujibu kuwa hawana organizational skills.
Nchi nyingi za Asia zinalishwa na wakulima wadogo. Ukitaka wakulima wadogo wawe wakubwa basi unahitaji kuwa na kiongozi anayefahamu changamoto zao vyema. Mkulima mkubwa mwenye access ya mikopo na mashine atajuaje changamoto za wakulima wa eka mbili tatu?Wakulima wadogo wanaweza kulisha nchi, aacha upuuzi na mawazo ya kimaskini, anayelima na kuvuna chini ya hekari 3 ni mazao ya kula yeye na familia yake.
tunataka mtu mwenye maono na siyo akili za mwendokasi za kipapasi kama zako.
Akili za sijui mkulima mdogo ndio mlituletea ma-viongozi hawana exposure wakaanza kuna kile mwenye hela ni mwizi.
shame on you kama una bando na hata kujisomea wengine wanafanyaje hujui.
umaskini siyo sifa ni laana, mlizoeshwa vibaya.
House of Lords huko UK haingii maskini.
Seneta USA hawaingii maskini.
SawaWatatufaa
🤣🤣🤣Yupo vizuri ila kutwa tunaona anavuna tu ...yaani hata kama anatumia mashine unaona wiki kapost maandalizi ya shamba baada ya wiki mbili unaona anavuna
Sipingi na sikatai wakulima wadogo man hata mimi hapa nina kilimo kidogo lakini nakupingeni kuamini siji aliyepitia shida ndio anajua vizuri suala fulani.Nchi nyingi za Asia zinalishwa na wakulima wadogo. Ukitaka wakulima wadogo wawe wakubwa basi unahitaji kuwa na kiongozi anayefahamu changamoto zao vyema. Mkulima mkubwa mwenye access ya mikopo na mashine atajuaje changamoto za wakulima wa eka mbili tatu?
😅😅Kuna tatizo sehemu hapo haswa motivation
WAJINGA MNAZIDI KUONGEZEKAMoja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Analima sasa unachokaza fuvu ni nn?Kwa sababu tu umeona kapiga picha na nyanya ilula au na pilipili kiroba kimoja basi anafaa kuwa waziri?
Watanzania tuna safari ndefu Sana
Unatamani nikujibu?Analima sasa unachokaza fuvu ni nn?
Hata wewe nyumbani kwenu ukimpa uwaziri inatoshaMoja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Sekta ya kilimo sio shambani tu. Usiwe juhaAnakuwa na uzoefu na kujua hali halisi ya sekta hiyo. We unadhani mtu mwenye sifa gani ndiyo anafaa?
Waziri wa Kilimo ni Maono sio Kila mkulima anaweza kuwa WaziriMoja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
"Tumelima" kwa maono kwa zaidi ya miaka 60Waziri wa Kilimo ni Maono sio Kila mkulima anaweza kuwa Waziri
Miaka yote 60 hakukuwahi tokea Waziri mwenye Maono kama Bashe Wala Rais mwenye utashi wa kukuza kilimo kama Samia."Tumelima" kwa maono kwa zaidi ya miaka 60