Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Wakuu NGOMA HAINA MWENYEWE,,,, usijione SHUJAA KUKOSA NGOMA,,,na USIMUONE MJINGA ALIYEPATA NGOMA,,,kikubwa ni KUSHUKURU MUNGU,,,,WENGI wetu TUMEOA,,au WAPO WALIOOLEWA,,je UNAJUWA ANACHOKIFANYA MWENZIO UKIWA MBALI NAE? tena natoa USHAHIDI ,,,HAKUNA MWANAMKE mwepesi kumtafuna kama mke wa MTU,,,JE TUTAPONA KWELI?, tuwe na SITARA KWA WAATHIRIKA WAKUU,,,

Yes kuna watu wanaleta dhihaka. Lakini HAPANA. PRINCIPLE NI MOJA..KUWA MUAMUNIFU AU TUMIA KINGA. KWA KILA MTU. Why should we allow this DISEASE to defeat US????? Kwa sababu ya tamaa za kijinga?? Na tusiache kulionea aibu. Huu uzi ni njia mojawapo ya kufanya SENSITIZATION.
 
Nimekutana na hii mahali...ooops
Screenshot_20180908-171525_Chrome.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli unachosema mkuu ila kwa huyu hapana, Jifunze kuwa sio kila kitu ni chuki hawa wasanii ni kama raia wengine tunaishi nao na tunawaona , Mzee wa farasi enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbaliiii.

Banza Stone, Msafiri Diof, Adolf Mbinga, Fergerson Hii timu ilikuwa balaa sana enzi hizo.


LISEMWALO LIPO.
Shauri yako
 
Kuna swali nimeulizwa hapa sasa hivi na Mpwa wangu kuwa UKIMWI / DALLY KIMOKO uligundulika lini duniani na ni Mwafrika gani wa Kwanza kutoka Afrika ya Mashariki aligundulika nao nimeshindwa kumjibu na ili ' Kumzuga ' nimejifanya nimetoka nje naongea na Simu kumbe sijui jibu lake na bado amekaa Sebuleni ananisubiria nimpe jibu kwani anasema hilo Swali anahisi Kesho litakuwepo katika Mtihani wao wa Kumaliza darasa la Saba. Naombeni msaada jamani ili nisiumbuke!
Anaweza kuwa Franco Luambo Makiadi "SIDA" Ilimkata Franco 1989 mwanzoni na kumuondoa mwishoni, na ulikuja Africa 1985
 
Back
Top Bottom