Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

Kwa hiyo kuna kundi la watu kwa mapokeo na uhitaji wao Sabaya alikuwa bora kwao?
Ubora wa kitu au mtu unategemeana na mapokeo na uhitaji ya mtu mradi hajavunja sheria

Kitu kinaweza kisiwe bora kwako lakini kikawa bora kwa mwingine.

Kwa hiyo unavyoona mwingine hajui maana ya ubora na yeye anakuona hivyohivyo kwamba hujui maana

Tuvumiliane tuu hamna namna
 
Bananga baada ya mke wake kuwa covid 19 akaanza kinyongo kwa kupost vitu vya ajabu Instagram. Pia Jamaa Shule ndogo Alafu anamtegemea wife.
 
Back
Top Bottom