Wewe mbona umejichongea hujisemi uzee wote huo bado katibu wa bawacha wa shina.Hawa kina Mchange na Mwigulu wanawadanganya tu hao wazee wa CCM waliojichokea kwamba wataiuw CDM kitu ambacho ni ndoto.
Ukitaka kuimaliza CDM fuata misingi ya utawala bora na itekelezwe kweeli CDM itakuwa haina madhara otherwise CCM bye bye.