Ally Bananga aachiwa huru

Ally Bananga aachiwa huru

Kicheba One

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
399
Reaction score
194
Kamanda Ally Bananga ameachiwa huru, shukrani kwa katibu wa CHADEMA mkoa ndugu Jonathan Baweje na katibu wa CHADEMA wilaya Muheza ndugu Lukindo Mohamed wakishirikiana na makamanda wengine.

Hongera kwa makanda wote walio shiriki kumtoa kamanda Bananga ambae ana asili ya Korogwe.
 
Dhamira ya ccm ni chadema kufa kabla ya 2015,lengo kuwadhofisha mbowe na slaa na sasa rungu hilo kakabidhiwa mchange kwa ahadi ya ulinzi na pesa kama atafanikiwa but am sure hawezi kufanikiwa,wacha tupime imani ya IGP kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa kisha uchaguzi mkuu
 
kama ni mwenyeji wa korogwe arudi akanyanye jinbo amfukuze mbumbu maji marefu. maana sasa korogwe ipo gizani sana hata kuliko tabora.
 
Wanafikiri CHADEMA ni act kile chama cha wasaliti
 
polisi wakiambiwa na ccm yeyote watiwe tigo wanaweza kutoa, wamekuwa mbulula extra
 
cdm kamwe haiwezi kufa km jinsi ambavyo utitiri hauwez kumuua jogoo
 
Mungu tunayemtumaini ndo amewaweka huru bananga na daudi kilo!wee gamba boko haram unamjua mungu yupi!
 
Na tutashinda tu cdm!Mungu yupo pamoja nasi,mtatufunga mtatupiga ila tutashinda tu,2015mtataga magamba nyie.
 
maccm watashindana nasi lakini hawatashinda..


Wao wana shetani, sisi tuna Mungu
 
Watu wanapenda umaarufu..who is Bananga katika nchi hii?

umaarufu wanapewa na polisi wa ccm Bananga ni diwani wa sombetini kwa tiketi CDM una swali lingine ccm mkisikia chadema huwa mnaweweseka sana
 
Dhamira ya ccm ni chadema kufa kabla ya 2015,lengo kuwadhofisha mbowe na slaa na sasa rungu hilo kakabidhiwa mchange kwa ahadi ya ulinzi na pesa kama atafanikiwa but am sure hawezi kufanikiwa,wacha tupime imani ya IGP kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa kisha uchaguzi mkuu

Hawa kina Mchange na Mwigulu wanawadanganya tu hao wazee wa CCM waliojichokea kwamba wataiuw CDM kitu ambacho ni ndoto.
Ukitaka kuimaliza CDM fuata misingi ya utawala bora na itekelezwe kweeli CDM itakuwa haina madhara otherwise CCM bye bye.
 
Back
Top Bottom