STARPLUS TANZANIA
New Member
- May 13, 2014
- 1
- 0
Starplus Tanzania,wanatafuta mafundi wa alluminium.SIFA.1.Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.2.Awe na uzoefu usio pungua mwaka mmoja3.Awe muaminifu na asiwe mlevi4.Awe tayari kufanya kazi kwa makubaliano maaulum.Mawasiliano.0756-654525--MWANZA TANZANIA