ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Huu undugu sasa umekuwa mzigo! Tatizo nna wivu na kaka zangu kuliko hata l'aziz wangu! Mmh! Shkamoo kaka. Uko zamu kwa nani leo, nataka kuja kudoea vitumbua
mwaJ nakusaka wa siri wangu kumbe umekuja huku kuhesabu watu? Kuna waliokuwa
Mabubu hawataki kusema?
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Leo gf umekesha? hebu ona hii post yako inasemaje.. maana sijaelewa lol. Naomba niambie vizuri ili blessings zinifikie basi :redface:

jamani usiku nilikuwa bize na kulea ndoa hapa nina uchovu usipime nisamehe. nilimaanisha thanks my dada be blessed.
 
mwaJ nakusaka wa siri wangu kumbe umekuja huku kuhesabu watu? Kuna waliokuwa
Mabubu hawataki kusema?

Nakuambia Kaizer hii kazi ni ngumu mno! Jinsi fomu za sensa zilivyoandaliwa kuna viboksi 4 tu vya kujaza status yaani unajaza kimojawapo sasa tunapokea marital status ambazo hatujawahi kuzisikia. Hebu fikiria hii ya Kongosho "Triplets" hata sijui naiweka wapi? Fomu ingekuwa ina kiboksi cha "other" labda tungejaza hapo lakini looh! zoezi gumu.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii mie naitamani hiyo kahawa


Mie raha yangu ipo kwenye hilo tabasamu lako tamu... lol. Kuna kibaridi hapa na amini usiamini nina kahawa hapa... Fanya hima msiri wa Kaizer uje upate kahawa. Ila hara hara naomba usimrushe roho mdogo wangu wala mimi hapa, naona kisha anza kuwa na wasi wasi hapo juu... Uwe unatoa taarifa mkipeana siri... lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…