ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Mie ndio karani wa hii sensa namsaidia bampami. Makarani tunatiririka mwishoni kabisa.

mwaJ nakusaka wa siri wangu kumbe umekuja huku kuhesabu watu? Kuna waliokuwa
Mabubu hawataki kusema?
 
Last edited by a moderator:
Morning sweetlo! Come zis way fasta

morning too ma swtlo. luv you sana sana sana.

hivi unataka kuongeza mitala kwa mwaJ? manake sikuelewi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa shkamoo. unajua asbh hii ndio navuta stimu ya kuandaa scheme of work. mzima wewe?


Marhaba' mie mzima kabisaa... Hofu na mashaka kwako maana ninajua una kazi nzito! lol, Nikutakie kazi njema basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…