Nakuambia Kaizer hii kazi ni ngumu mno! Jinsi fomu za sensa zilivyoandaliwa kuna viboksi 4 tu vya kujaza status yaani unajaza kimojawapo sasa tunapokea marital status ambazo hatujawahi kuzisikia. Hebu fikiria hii ya Kongosho "Triplets" hata sijui naiweka wapi? Fomu ingekuwa ina kiboksi cha "other" labda tungejaza hapo lakini looh! zoezi gumu.
Mwali: Singlish (Not single as such but single-single...)
That said, I am NOT looking for partner kwa sasa. :hand: Kongosho, I miss you so much my dear, Nakusalim!
Wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.
Mie raha yangu ipo kwenye hilo tabasamu lako tamu... lol. Kuna kibaridi hapa na amini usiamini nina kahawa hapa... Fanya hima msiri wa Kaizer uje upate kahawa. Ila hara hara naomba usimrushe roho mdogo wangu wala mimi hapa, naona kisha anza kuwa na wasi wasi hapo juu... Uwe unatoa taarifa mkipeana siri... lol
wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.