All glitters is not Gold !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Is a well known sayin' !
Meanin' that not everythin' that looks precious suitable or true turns out to be so!

This can apply to persons,
places or things that promise to be more than they really are.
The expression in various forms, originated in or before.

Unpure or fake gold which reflects substantially more light than authentic gold does !!
Gold in it's raw form appears dull and does not glitter !
Nani anabisha kwamba si kila king'aacho ni dhahabu ?
 
Anayebisha atakuwa ametoka sayari ingine huyo. Nini kimekusibu mzee mwezangu Judgement? Au ni ule mkasa wa Bishanga aloutoa kuhusu wanawake?
 
Last edited by a moderator:
Anayebisha atakuwa ametoka sayari ingine huyo. Nini kimekusibu mzee mwezangu Judgement? Au ni ule mkasa wa Bishanga aloutoa kuhusu wanawake?

Ndugu yangu we acha tu!
Kadunia haka kana purukshani kiasi si haba!
Yanayotusibu lukuki !
Ukifukuzia kadha, kadha wa kadha yanaponyoka!
Ni kama vile baba mwenye nyumba ukiripotiwa kigunia cha mchele na unga ulivyoleta vimeisha!
Jua na mkaa nao marejea !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom