WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,426
- 1,431
Habari wakuu
Kama wewe ni mjasiriamali na usindikaji wa chakula na bidhaa zako hazitambuliki na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) pamoja na shirika la viwango Tanzania (TBS)
Huna haja ya kuwa na hofu kwa kufanya biashara kwa kujificha ficha na kuhonga hela kwa maafisa wanaokuja kukagua ili usifungiwe.
Kusajiriwa TFDA na TBS ni takwa la kisheria pia kuna faida nyingi sana kibiashara,hivyo basi unapaswa kufuata njia za kisheria kusajiri biashara na bidhaa zako.
Mimi pamoja na wenzangu,wataalamu wa usindikaji wa chakula kutoka SUA tumeanzisha taasisi ya kusaidia small food processors kwa kutoa huduma zifuta
1.Food factory layout design
2.TFDA premise registration
3.Food processing consultation service
4.TFDA and TBS product registration
5.GMP,HACCP, and GHP training
6.Food Quality and safety management.
7.Product research and improvement
8.Developing SOP and work instructions
9.Packaging and labeling ....
Na huduma nyingine nyingi za kitaalam,tumeanza kwa kusaidia wasidikaji wa maziwa kutoka mkoa wa Arusha,na watengezaji wadogo wadogo wa mvinyo (wine) na pia makundi ya akina mama ya wazalishaji wa Mafuta ya Alizeti.
Kama wewe ni mmoja wao,au una ndugu mwenye kiwanda kidogo lakini hajui aanzie wapi ili kusajiriwa usisite kuwasiliana nasi kupitia
E-mail ifuatayo: chakulabora17@gmail.com
au ni PM kwa maelezo na msaada zaidi