Haa Acha Kwanza MkuuIkowapi
wanapendelea hamas tu wale wanajulikana hupendelea waarabu. Ni channel ya hovyo sana idhaa zao zote za kiaarabu na kiingerezaPersonally,aljazeera ni channel bora kabisa duniani.
Hii coverage wanayoionesha huko Gaza ni exstra-ordinally
Kongole kwao
Kwa sana.Wapo Bias
hiyo ndiyo tv ya dunia, hao akina bbc, dw, voa, sky news, aljazeera na fox wakasome hukoCNN My best
Aljazeera wanamilikiwa na Qatar, ambayo inafadhili Hamas. Bahati mbaya sasa hakuna channel ambayo iko neutral. Amini utakacho kuamini.Personally,aljazeera ni channel bora kabisa duniani.
Hii coverage wanayoionesha huko Gaza ni exstra-ordinally
Kongole kwao
100 percentPersonally,aljazeera ni channel bora kabisa duniani.
Hii coverage wanayoionesha huko Gaza ni exstra-ordinally
Kongole kwao