Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,326
Wanajidai ni chaneli ya "wanyonge"!Waje na Tanzania wawachukue wanyonge wao.
Hamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔Very partisan media,as long as wewe ni hamas sympathizer utaisifu hii
Wanapendelea vp wakati unaona kbsa watoto na wakazi wapalestina wanavyoteseka.wapo upande wa mnyaazi
Wapumbavu sana hawa,yoav Gallant kasema hata wale magaidi wavaa suti waliojificha Qatar ni maiti watarajiwaHamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔
Hata uchambuzi wao ukisikiliza unaweza jua vita alianzisha IsraelKwa sana.
Kwanza ni kama vile duniani hakuna matukio mengine kwa sasa. Wao wako pale pale na one-sided stories.
Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi.Aljazeera ime - base upande wa palestina kazi yao ni kuongea mabaya ya Israel tu .
Hamas ndo ilichikoza Israel ila hawasemi kutwa nzima ni kuponda Israel na IDF.
BBC ndo channel nzuri wapo kati kati.
Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi.
Mkwawa aliwachokoza wajerumani, Mkwawa alikuwa Gaidi.
Tanzania ilipambania ardhi yake ya Kagera kutoka kwa mvamizi Iddi Amini. Tanzania ni Magaidi.