Ukweli upo ila kwakuwa wewe hujausikia toka reliable source ndio maana unauita radio mbao ila wao wanampango wa kuanzisha swahili service itakayo base Nairobi, swala la Tido hilo sina uhakika naloNafikiri so far ni radio mbao tu
Nafikiri so far ni radio mbao tu
ni aibu kusema lugha yako choka mbaya wakati vyuo vingi duniani vinafundisha lugha hii tukianzia marekani, UK, China, Norway-NTNU, na nchi nyingi wao wanaithamini iweje ww au sio mzawa? BBC, DW,VOA,canada,RFI na ajazeera wameona umuhimu wake. unahitaji maombi sii bure.Just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya
Uhuru wa nafsi na maono kwako bado gizani kabisa! Unajidhihiri ulivyo mweupeee juu ya uzalendo!!Inawezeka hapo ulipo unajikana kuwa si mtanzania.Just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya
aaaaaaah......michango ya wawekezaji utaifahamu tu!!!!!!!!!!!!just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya