Aljazeera ya Kiswahili???

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wadau kwa mwenye taarifa naomba kufahamu ni kweli kwamba, kuna TV ya kimataifa ya Aljazeera kwa lugha ya Kiswahili ambayo imeanzishwa? na ni kweli kwamba, TIDO MHANDO ni mkurugenzi wake?
 
Nafikiri so far ni radio mbao tu
Ukweli upo ila kwakuwa wewe hujausikia toka reliable source ndio maana unauita radio mbao ila wao wanampango wa kuanzisha swahili service itakayo base Nairobi, swala la Tido hilo sina uhakika nalo
 
Just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya
 
[h=3]Al Jazeera to launch a Swahili TV channel[/h]



habari yenyewe hii hapa.

…The influential television news channel from Qatar has negotiated the rights to install a base in Nairobi in the next few months so that it can cover the whole of East Africa.
Several Al Jazeera officials went to Nairobi in April to meet the director of information, Ezekiel Mutua, his chief Bitange Ndemo, Principal Secretary of the ministry for information and communication, together with other representatives of the Kenyan government.
At the end of their negotiations, Al Jazeera obtained the licences necessary to
launch a television channel in Swahili based in Nairobi.

The Qatari channel now only needs to wait for the frequencies to be attributed by the Communications Commission of Kenya (CCK) before it can begin broadcasting in the next three or four months towards East Africa.
It already has an office in the Kenyan capital, whose journalists have the job of gathering news from all over the region, but depends on the Kenyan stations Citizen TV and Gospel TV which broadcast its content, frequently very late at night.
Al Jazeera is counting on an initial investment of 30 million shillings (€250,000), which will double in two years so that the Swahili language programming can be distributed via cable and satellite.
The reception has to be good in quality in order to compete with the international television channels already receivable in East Africa.
In doing so, the Qatari channel will compete with the Swahili programming on the international radio services, like the BBC and Voice of America.
Its arrival will also upset the Kenyan media groups operating radio and TV stations, such as the Nation Media Group (NMG) owned by the Aga Khan Foundation and Royal Media Services (RMS) owned by the magnate Samuel Kamau Macharia

muuliza mada vitu vingine utavikuta kwa net labda hiyo ishu ya Tido mhando ndio tetesi sii rasmi.
 
Just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya
ni aibu kusema lugha yako choka mbaya wakati vyuo vingi duniani vinafundisha lugha hii tukianzia marekani, UK, China, Norway-NTNU, na nchi nyingi wao wanaithamini iweje ww au sio mzawa? BBC, DW,VOA,canada,RFI na ajazeera wameona umuhimu wake. unahitaji maombi sii bure.
 
Just spurious rumours, waarabu hawana mpango wa kufungua idhaa ya kiswahili, lugha yenyewe choka mbaya
Uhuru wa nafsi na maono kwako bado gizani kabisa! Unajidhihiri ulivyo mweupeee juu ya uzalendo!!Inawezeka hapo ulipo unajikana kuwa si mtanzania.
 
Inaonyesha huyu mshikaji anaishi maisha ya sinema, coz si yeye tu, huku kwetu tunao kibao!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom