Wametimiza walichotaka kufanya, kuua raia ili ionekane Chadema ni chama cha fujo. Wazo la maandamano ya nchi nzima linahusika sana kwa ajili ya kumwambia Mkwere tumechoka tunataka mabadiliko ya lazima
Dont push it!Anyway Police force wanavyokubali kuendeshwa kipuuzi hivi wanajipalia moto maana kama itatokea fujo somewhere sio majengo na ofisi za Chukua Chako Mapema peke yake zitakazochomwa moto,bali na ofisi zao zitashambuliwa,Wanachokifanya ni kujenga chuki baina yao na raia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.