ha haaaaaaaaaaaaaaa, umenichekesha sana Nyamayao. Ni kweli unatakiwa kupigania chako. lakini mimi kasheria nilikojiwekea ni ka kupambana na mr sio na huyo wa nje ambaye hanihusu. kama mr akinihakikishia kuwa huyo ndo zaidi basi unakuwa huna la kufanya. ila sijui huyo nje huko hatasikia hata sauti yangu, hata akinifwata nyumbani kwangu
B na hii ni kwa hisani ya watu wa 'Merekani'?
hapo mie ndio napataka sasa, nikiwakuta huko walaahh nitapambana na kichwa maji wangu,eehh lakini huyo mwanamke anifate mpaka kwangu khaaa mbona ana moyo, nikiwa namjua na nimemkuta nje ya geti tu kasheshe anayo ndio ijekuwa anigongee ndani kwangu?.....wengine nyie mlitakiwa muwe ma sister jamani.
LOL...hapo sio kwa hisani.....ila ni kwamba baada ya wengine kupiga 'makelele' hapa naona wamesahau ile kauli mbi kwamba infidelity...........
hapo mie ndio napataka sasa, nikiwakuta huko walaahh nitapambana na kichwa maji wangu,eehh lakini huyo mwanamke anifate mpaka kwangu khaaa mbona ana moyo, nikiwa namjua na nimemkuta nje ya geti tu kasheshe anayo ndio ijekuwa anigongee ndani kwangu?.....wengine nyie mlitakiwa muwe ma sister jamani.
hivi B nani ana hisani Infidelity??? ni hilo tu kwa leo
ha haaaaaaaaaaaaaaa, umenichekesha sana Nyamayao. Ni kweli unatakiwa kupigania chako. lakini mimi kasheria nilikojiwekea ni ka kupambana na mr sio na huyo wa nje ambaye hanihusu. kama mr akinihakikishia kuwa huyo ndo zaidi basi unakuwa huna la kufanya. ila sijui huyo nje huko hatasikia hata sauti yangu, hata akinifwata nyumbani kwangu
ni waliotoka ulaya wakiwa wamenona......na wakiwa full mapenzi......ni hayo tu B
hahaaaa kama mimi dearest lol!!
kwa hili naanza kufukiria suala zima la kukumilikisha bastola kama litakuwa la busara ama la....
yaani wewe ndio kabisa kabisa...lol
ucmtie mwenzio majaribuni.....hawa ndo wanakujaga kuvuruga ndoa za watu kabisa.
ujue dearest, u have a point.........yaani unifanyie madudu huko mabli na nisiyajue!! hamna kitu mbaya kam kujua kun alimtu linanyemelea chako aisee, tena anawinda mpaka maeneo ya home kiivo, dharau gani hizo sasa.
cheza na mimi usicheze na wangu lol!!!
khaaa...nachukulia tu nipo na mr tumekaa ndio kamuona mtu wake amegonga anaingia nadhani ataanza kwanza yeye kuzimia mana anajua kasheshe yake hapo....dharau nyingine zinapitiliza dearest.

huyu shem wako anaweza kuja muda akaachana na hayo ya kujidai anapenda wawili, yashanikuta ya design hiyo!Kuna shemeji yangu mmoja juzi kapata so, wife kaondoka anaomba tumbembelezee arudi. Chanzo ni kwamba shem ana girl friend wake na huyo girl friend anapiga simu usiku wa manane akimtaka jamaa kwenda kwake, na bila hiyana jamaa anaaga na kuondoka. Kuna time alipanga zamu za kulala huko nje kabisa.Wife amemsihi sana aachane nae lakini jamaa anasema anampenda sana. Wife kamwambia kama unampenda kihivyo basi muoe ajulikane officialy jamaa anasema hana uwezo wa kuoa wake wawili. Mnafanyaje katika situation kama hii?
balozi
wewe mmege tu alafu umuweke pembeni ndio atajifunza
onyo: hizo zawadi alizokuletea usichukue anaweza akawa ameshazipeleka kwa babu kabla ya kukupa wewe...