monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 720
- 943
Ahsante mkuu, Je tv za kampuni gani za kichina ni bora kwa picha?Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Tcl anakizi vigezo hpo.Ahsante mkuu, Je tv za kampuni gani za kichina ni bora kwa picha?
Angalia na kin'gamuzi unachotumia mkuu,isijekuwa unatumia vin'gamuzi vyenye HD low quality ukasingizia shida ni TV,jaribu kutumia DSTV kwenye Star X halafu ulete mrejesho...Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Naungana na wewe, isije akawa anatumia cable au star times akalaumu star x.... Hi ni tv kali mno kuliko hata hzo brand zenye majinaAngalia na kin'gamuzi unachotumia mkuu,isijekuwa unatumia vin'gamuzi vyenye HD low quality ukasingizia shida ni TV,jaribu kutumia DSTV kwenye Star X halafu ulete mrejesho...
Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Ahsante mkuu, Je tv za kampuni gani za kichina ni bora kwa picha?
Hakuna Tv hapo mkuu... tafuta TCL kama unataka mchina
Evvoli ni waitaliano na ukisoma matoleo yao wanaonekana wapo vizuri tu wana TV za 4k, functionalities kama ARC na CEC n.k
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu
Ni mpya inch 32
Star x led tv = Tsh 330,000
Star x smart tv = Tsh 370,000
Evvoli led tv = Tsh 350,000
Evvoli smart tv = Tsh 380,000
Kuwa na 4k hakufanyi uwe bora
Ebu iweke model moja ya evvoli tuichambue
Sawa mkuuHakuna Tv hapo mkuu... tafuta TCL kama unataka mchina
Fafanua vizuri mkuu ndo model gani hiyo?Hii brand ya star x msiichukulie poa, south africa huwambii kitu juu ya hii brand
Ubora wa picha ziko safi sana, ukinunua star x jitahidi upate ile yenye mark ya masadubai.
shukrani
Umenena mkuu..sasa kwa wanaojua picha ,starx picha kali kaanza kua nayo lini? Watu hata view angle hawajui...hizi star x ni kituko kama tecno tuKujua ubora wa picha ni utaalamu.wabongo wao kila tv ni nzuri ilimradi tu eti kaiweka kwenye dstv.
Kuangalia picha na kujua ubora ni aghalabu uwe mtaalamu au upewe TV zaidi ya moja kwa wakati mmoja ukar uziangalie.
Kwa mfano kaa na tecno yako, utaisifia kioo sana na picha zake. Lakini tafta hata samsung s4 tu, a10, j4 weka video sawa na simu yoyote ya tecno, ukianza na hizi spark, paviour ndio utajua utofauti wa rangi, picha na ubora