Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 527
- 1,160
Bila shaka ni wazima wa afya.Katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii ishu ya kufanya research online pia kufanya kazi ndogondogo kwenye website ya timebucks.Nilijiunga na kuanza kufanya vikazi vyao.
Ikumbukwe ili uweze kulipwa ni lazima ufikishe 10 USD.Nilifikisha hizo dola kumi na ili ulipwe kuna njia tofauti za malipo.Mimi nilichagua paypal,nikafanya kila kitu ili niweze kulipwa.
Nilipokamilisha taratibu zote timebucks walinitumia email kuwa sasa ninaweza kulipwa baada ys kukamilisha taratibu.Lakini toka nikamilishe ni zaidi ya mwezi sijalipwa kila nikiingia kwenye akaunti yangu nakuta salio bado lipo badala ya wao kulituma kwenye akaunti yangu ya paypal.
Kama kuna mtu amewahi kulipwa naomba msaada.