Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Walintolea mbavuni knmmk Zao
Hivi hawa hua Wana matatizo gani?
wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia.
mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa.

ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people?
 
Hivi hawa hua Wana matatizo gani?
wife alifanya aka pass mpk Leo wamemchunia.
mdogo wangu alifeli. Hapo Sawa.

ila mbn alie pass inakua ndio baaasi. What's wrong with these people?
Sielewagi sijui wanatakaga kutuinjoy
 
Mimi nakushauri kama kutakuwa nahesabu ingia Google search " Indiabix" hawa wana applitude test za kumwaga za kila aina soma hapo ....wengi hata bank zetu Wanadesa huku nakujifanya wajanja.
Nilifanikiwa kuichapa fresh ila jamaa wamenipotezea from there
 
Back
Top Bottom