Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Jiandae kwa maswali ya asilimia, unapewa maelezo marefu halafu unachagua sentensi iliyo sahihi kwa majibu wa maelezo hayo, Kuna kuchagua maneno yenye maana sawa. Ukifeli hautofanya Tena interview yao😀
 
nlifanya mara nne au tano mpaka wakaniandikia email mimi basi tena sitakiwi kufanya hizo test kwa maana sjafanikiwa kupata kwenye attemp zote.. nakushauri tafuta cabinet ya watu 6 mpaka saba, wanaojua english grammer na wazuri wa hesabu walio fast kwenye kucompute basic maths ukae nao uifanye hio quiz. waliopata walifanya ivo
 
1617121563017.jpeg

Wakuu naombeni mnipe hints za test ya hawa jamaa aisee nina 48 hrs za kuipiga hio mambo ila sijajua kwamba naenda kukutana na kitu gani ili niandae mashambulizi
 
Wakuu ilibidi niandae Test Assistant aliekuwa mkabala na google 😁😁😁 nimeipiga so far naona sio ngumu kama ambavyo nilipata Review za awali ila kupata 100/100 sina shaka ila 80/100 naweza fika
 
Wakuu ilibidi niandae Test Assistant aliekuwa mkabala na google 😁😁😁 nimeipiga so far naona sio ngumu kama ambavyo nilipata Review za awali ila kupata 100/100 sina shaka ila 80/100 naweza fika
Kila la kheri Mkuu
 
Hamna ila unakuwa na Eligibility ya kuomba kazi yeyote toka Alistair Group ambayo utakuwa unasifa zake.
Alistair ni Kampuni ya nini?So Hio aptitude TEST ni kwa kazi yoyote ile?Wale wa ajira wanaoajiri serikali wangekuwa POA sana kam hivi mitihani vyao wanavyokusanyaga watu wangekuwa wanavirusha tu online.
 
Ni international company ya Logistics. Ingependeza sana kuliko kupotezea watu nauli. Mitihani iwe timed tu very simple yani.
 
Back
Top Bottom