Baaasiiii..hiii ni aibu yake mwenyewe wala si taifa maaana hatukumtuma!!!!
'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi waliosoma alivyokuwa akijisifu wakati wa kuzindua kitabu chake cha Kikwete walihisi kuna tatizo. Kimsingi hili ni pigo kwa Kikwete mwenyewe kama rais wa nchi. Pia ni aibu kwa Tanzania ingawa haikumtuma. Kuna haja ya watanzania tulioko nje na ndani tulioamua kufanya kazi ya kitaaluma kujituma na kuwa wakweli. Kwanini kutafuta sifa usizo nazo? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Mbona sijaona panapoonyesha kwamba aliiba kazi za wenzake? halafu hata hizo tuhuma wanazompa za kwamba alimbeba huyo mwanariadha kwenye course yake mbona nazo zinaonekana bado hazina ushahidi wa kutosha? Tusifanye judgement haraka. maana itakuwa ni aibu, pale mtakapojua kwamba hakufanya makosa hayo.

Watu ni asahaulifu sana... au kuna mtu ana interest na habari hiiHii habari ilikuja hapa JF mwaka jana pia.
Wakati mwingine ni kujikomba kwa mkulu ili wakumbukwe kwenye ufalme wake hasa wakati wa uteuzi wa nafasi za upenedeleo.Hivi kuandika kitabu cha kumsifu raisi ina mchango wowote katika maendeleo ya jamii yetu..Mimi naona huo ni ulimbukeni uliopitiliza.
Hivi kuandika kitabu cha kumsifu raisi ina mchango wowote katika maendeleo ya jamii yetu..Mimi naona huo ni ulimbukeni uliopitiliza.