Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

Ni vibaya but polisi wetu wamejuruhi mioyo ya wengi, wamebambikiza kesi, wameua,wanakula rushwa,kuna watu wanaulemavu wa kudumu kwa sababu polisi wamekosa weledi. So huwezi jua huyo aliye comment vibaya anauchungu gani. Polisi wetu wanatakiwa warudi depo upya
 
Unazani mpaka kufikia kusema hayo shida ni nn?je ni kweli mtu anaweza mtakia mpendwa wake mabaya?kawada wasopendana hutakiana hayo hv kweli jeshi linalolinda wananchi na maliza zao haswa ,amani na utulivu anaweza kulitakia mabaya kweli?
Mimi mwenyewe nashangaa, huyu jamaa kama si mwenzao na wale waliofanya tukio huko, basi anawajua.
 
Raia wa ngapi wamepoteza maisha ,raia wangapi wametekwa hawa watu wamesaidia nn nani kakamatwa kwa matendo hayo leo Ben saanane yuko wp kiongozi mkubwa anasema maswala ya kutekwa ni ya kawaida tu hiyo ww utamuelewaje?mkuu ukweli no jambo jema sana kweli tu akisemwa mapungufu yake yampasa ajitathimini tu na kujirekebisha huo ndo uungwana.
Kama ni kweli huyu alikuwa anatumia uhuru wa kutoa maoni kwanini hakuandika alichoandika wakati wa masiba wa mwananchi mwingine???
 
We ni mpumbavu nani anafurahia mambo hayo mjinga mkubwa ww kinachozungumzwa hapa ni juu ya kila mtu kucheza vyema sehem yake hv unazani kama mahusiano mazuri yako kat hata hao wauwaji wangepita wapi kama mahusiano yako hata hao wauza unga wangepitia wapi watu wabaya hawa wangepitia wapi?ukiumizwa bila makosa na huna uwezo wakupambana na hao walokuonea unazani kinabski nn kama c sum moyoni? Kikubwa ni kujirekebisha kila mtu upande wake ili watu wapendane sio huo upuuzi wako kweni rumande ni kufungwa walikwambia?kifupi neno moja tu tena fupi AMANI mwisho wa yote .
Wacha povu, bila uelekeo, hiki ndicho kinamponza mwenzako huyu aliyeshikwa na polisi.

Kaonyesha hisia zake hadharani, polisi nao bila kusita wamemuonyesha za kwao.sijui ana hali gani saa hizi??

Anaweza pewa uhusika wa mauaji hivi hivi kwa ajili ya kiherehere.
 
Kwa upumbavu wako huohuo ni lini na wapi wahalifu kama wewe wanakuwa marafiki na askari Duniani kote na kama nchi zote wangekuwa wendawazimu kama wewe polisi wasingekuwepo nitajie hata nchi moja ambayo Polisi wana urafiki na raia ambako uhalifu hakuna. Marekani Polisi wameua raia wahalifu kama wewe na majukumu ya Polisi yanaendelea kama kawaida, Afirca kusini ukileta jeuri unatwangwa shaba, Uingereza na kote duniani HAKUNA UPUMBAVU KAMA UNAOTAKA KUULAZIMISHA HAPA KWA KUTOJUA MAJUKUMU YA POLISI NI NINI NA RAIA WAJIBU WA RAIA KWA POLISI NI UPI. KAWAULIZE WAJINGA WENZIO WATAKUPA SHULE.
 
Unajua kuna baadhi ya askari sio wazuri hata kidogo wako tayar mtu afe wao wapate pesa sasa watu akisikia askari kafa wanafurahi ila Kwa mtizamo Wang jeshi la police wajitadhimini kwanza kabla ya kukamata watu wanaoshangilia vifo vyao askari wenyewe wanapenda pesa kuliko uhai watu. Kwangu binafsi nalaani sana watu kushangilia kifo cha mwingine kwan wote njia ni 1 ila kila mtu anamuda wake pia tutambue nchi yetu maadili yameporomoka inabidi mashule yetu yawe na waalimu wa maadili tusiwachie wazazi peke yao serikali ianzishe somo la maadili tuanze kutengeneza walimu wa maadili. NI MTIZAMO
Maadili yapatikane shule tena wakati hata hao wanafunzi hamtaki wakanywe hata wakikosea? Mwanafunzi akimpiga mwalimu, Austin akikaidi adhabu ya mwalimu hata Kama kosa liko wazi anapongezwa mwanafunzi, hivyo ni ngumu kupata maadili shuleni, kumbuka haohao wanaotoka shule bila maadili ndio wanaoajiriwa kwenye sekta mbalimbali wakiwemo na polisi. We still have a long way to go as a whole society
 
Wacha povu, bila uelekeo, hiki ndicho kinamponza mwenzako huyu aliyeshikwa na polisi.

Kaonyesha hisia zake hadharani, polisi nao bila kusita wamemuonyesha za kwao.sijui ana hali gani saa hizi??

Anaweza pewa uhusika wa mauaji hivi hivi kwa ajili ya kiherehere.
Kumbe wajua hawa watu huwapa kesi zisizo zao ss hapo kunakuelewana kunakuombeana heli nazani nisibishane na mwendawazim.
 
Tutake tusitake sisi wote ni wamoja suala la umwagaji damu kwa ujumla wote tusiwaachie polisi peke yao linawahusu kila mmoja wetu,uzalendo mbele na siasa baadae.
 
Back
Top Bottom