Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Aliyetoa maoni ktk Tweet ya Millard Ayo kwamba Askari 8 waliouwawa acha wafe, amekamatwa na Polisi Mbeya kwa kauli hiyo

IMG_5379.jpg
 
Hakuna anaependa kufa japo kufa ni lazima..

Hao mnaosema polisi wafe mjue nao ni binadamu kama ninyi pia..

Hao polisi walitamani wawepo hadi siku kama ya leo nao..kama kila mtu alivyo hai hadi unapata muda wa comment humu..

So kuweni na akiba ya maneno...
Twin, Akiba ya maneno ipo sanaa ila pia Hasira kali ya Mioyoni ipo kwa watanzania wengi dhidi ya hao hao Mapolisi.

Wataeleza watu ni kwasababu zipi..labda aanze Mke ama Mtoto wa Daudi Mwangosi.
 
Back
Top Bottom