Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

waafrica hatuna sheria za kanisa. Ila kwa kuwa tulizipokea, kuzikubali na kuzifanya zetu, hatuna budi kuzitii na kuzifuata

Hii point yako naikubali. ila sasa kanisani sometimes walegeze hizo sheria za kuvaa kwa kuwa sio wote wenye uzoefu wa kuingia kanisani. wengine wanaenda kama hivyo kwenye kushuhudia ndoa. sasa kumtia aibu ina maana gani
 
 
kiatu kimetoka kwa Bi. Elizabeth bwana utamwambia nini sasa wewe KATEKISTA!!!!!!

Viatu vyote vya Mitumba vinatoka huko huko Ulaya asilete Ulimbukeni wake hapa kwanza pengine hajazoea Viatu virefu kazoea flat tu
 
Alihudhulia mafundisho yote kabla ya kufunga ndoa ambapo aliambiwa aina ya Mavazi ya kuvaa siku ya Harusi kumbuka siku ya tukio Pia aliambiwa akasome Ubao wa kanisa akagoma kwa hofu ya kuumbuka mbele ya kanuni za kanisa .sasa anamlaumu nani?ajilaumu mwenyewe kwa ujuaji wake
 
Hii point yako naikubali. ila sasa kanisani sometimes walegeze hizo sheria za kuvaa kwa kuwa sio wote wenye uzoefu wa kuingia kanisani. wengine wanaenda kama hivyo kwenye kushuhudia ndoa. sasa kumtia aibu ina maana gani

lazima atiwe adabu ili ajue pia si kanisani tu bali hata mitaani hatakiwi kuvaa kishetani
 
Alikuwa ameamua kwenda huku ameacha mabega wazi kwani kanisani akivaa nguo za kufunika mabega na mtandio asingepata mahubiri! hawa ndo tunawaita mashetani wanaenda church kwa nia ya kufanya majaribu
 
Hivi hapa ppangekuwa msikitini angethubutu hata kujadili ujinga wa kiatu cha Uingereza; what is Uingereza mbele ya utakatifu wa Mungu. God can give you shoes that last for 40 years kama alivyowapa wana wa Israel sembuse huo ujinga kutoka uingereza?.
Mungu anaweza pia kukunyima miguu ya kuvaa viatu. Jambo la huyu dada linasikitisha sana kuona jinsi alivyogangamala wakati anafahamu fika kuwa alikuwa kinyume na maelekezo. Kanisani kwetu ilitangazwa kuwa mtu akija kufunga harusi akiwa mabega wazi ataazimwa joho la kwaya ili afungiwe ndoa. Akitoka nje atarudisha joho aende zake uchi kama alivyokuja. Thubutu, nani anataka aharibu mkanda wa video akiwa anafunga ndoa na joho la kwaya? Wanajitahidi kuja na mitandio au vitop ambavyo baadae wakiwa ukumbini wanavitoa. Naonaga aibu kweli bi arusi anapomkumbatia babake au kakake huku yuko uchi mabega yote! Aibu!
 
Watu wa aina hii usiwajibu kwani hawajui wasemalo. Mtu mwenye roho wa Mungu hupenda kuwasaidia wahitaji na si kuwazushia au kuwakashifu. Na wengi wanaamini kua wakikariri mistari mingi kwenye bible ili wabishane wanadhani huo ndio utakatifu. Kumbe wanasahau unaweza ukazama kwenye ujumbe flani na ukauishi ikatosha.
 
mahali popote pakumtukuza Mungu lazima paheshimiwe sana kwa sababu Mungu anapaswa kupewa heshima kubwa sana kuliko kitu kingine kwa hyo kuna vitu vingine siyo lazima hata uwelezwe na kiongozi wa kanisa ni wewe binfsi kujihoji na kuona je kwenda kwenye hekalu la Mungu nikiwa uchi ni sahihi?
Tufike mahali sisi wanadamu tubadilike na kumtukuza Mungu na kumuheshimu ili hasira yake isije kuwa juu yetu.
 

Wat the hell r u saying.???.....niabudu sanamu nisiabudu wewe inakuhusu nn...walishakuja mlangon kukuomba uwe mkatoliki??? If not so shut the f....k...km ni motoni nitachmwa mm mkatoliki...so utuache...kisa tu mnaabudu miungu watu kwenye ulokole mpate magari basi mnaona nyie ni wa mbinguuni...
 
Sawa umeongea kwakua wewe mkamilif ila me cjal yote ulyo sema kama kwel au ckwel lakn ungekua na timamu akil ya kiroho ulyodhan unayo na kmwl unge2ambia mungu wa kwel yup ambaye aaubudiwe na yupo dhehebu gan ikiwa katolik wao wana yezebel...®®
 

nashindwa kuelewa unachokitetea coz hata wanawake wastaarabu wenye maadilli mema hawawezi kusupport mavazi yanayoshusha utu wao na hata katiba itakayotetea hivyo haitakuwa imekamilika coz iliyokamilika itasema kila mtu ana uhuru wa kuvaa anavyojisikia ila huo uhuru una mipaka yake uvae kiheshima na usiwakwaze wengine
 
Yaan wewe kweli tofal la kujengea banda la panya....sasa ebu nambie kanisa gan ilo ambalo.waumin wake.
Sio makahaba
Mafisadi
Walev
Wazinz
Waasherati


Ivi unajua maana ya kanisa?
Wakat unaandika.aukubanwa na uharo we kilaza?
Ur so min.
Afu dzain ushakufa unasubir KUFARIKI tu...RIP.
 
Dzain ajui anachoongea uyu mfu tofali

Anapondaaaa ata ajui anachoponda

Mungu mwanamke?ndo kakobe kakwambia ivo?
Dini ninin
Din ipi waumin wake ni wasaf hawana dhambi

Unaijua falsafa ya bkra maria?
Mhh ebu niachane.nawewe isje kuwa natokwa na povu kwa mtu aso ili wala lile ktk i mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…