Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

Yaan wewe kweli tofal la kujengea banda la panya....sasa ebu nambie kanisa gan ilo ambalo.waumin wake.
Sio makahaba
Mafisadi
Walev
Wazinz
Waasherati


Ivi unajua maana ya kanisa?
Wakat unaandika.aukubanwa na uharo we kilaza?
Ur so min.
Afu dzain ushakufa unasubir KUFARIKI tu...RIP.

1)mimi si MLOKOLE ni mkatoliki damu
2) Ni wapi nimesema kuwa Mungu ni mwanamke
3) sielewi ht unaongea nini coz ulichocomment hakiendani ht kidgo na post zangu.....
4) Acheni kujudge madhehebu ya watu....na kujiona mko right kuliko wenzenu
KRISTU......TUMAINI LETU
 
Dzain ajui anachoongea uyu mfu tofali

Anapondaaaa ata ajui anachoponda

Mungu mwanamke?ndo kakobe kakwambia ivo?
Dini ninin
Din ipi waumin wake ni wasaf hawana dhambi

Unaijua falsafa ya bkra maria?
Mhh ebu niachane.nawewe isje kuwa natokwa na povu kwa mtu aso ili wala lile ktk i mada

And I guess umeoverlook....aliyepost kuhusu kuukashifu ukatoliki .bikira maria ni CHONGCHUNG....si mm bidada..pole kwa kupanic
 
hata sie tunaona kweli vazi hilo siyo tu halifai kanisani; bali hata nyumbani kwa familia ya wazazi na watoto!

pengine alijiandaa kwenda sehemu nyingine na kakutana na msafara wa kuelekea kanisani njiani naye ukamkumba!
 
Jf kiboko, mmepekenyua hadi picha yake ya harusi lol!

Hako kakoti alikovaa juu, nadhani alivyotoka kwenye ngazi tu akakatupa kule
Mimi ndo maana sitii mguu facebook watu wanakutendaje we acha tu!!
 
Back
Top Bottom