Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

Wahaya hovyo sana.kiatu cha uingereza kaona kafika wenzio wanatia vya italy ambako ndo bei juu yeye anajisifu na kiatu cha uingereza kilichoka china.nshomile noma
 
Angekuwepo Yesu hapo labda angetoa bonge la mfano wa kukandia ufarisayo na kusema kilichoufunika moyo ni muhimu kuliko kilichoufunika mwili.

Basically huu ni ufarisayo wa leo tu.
 
JameEnii Eee.. Makanisa na Misikiti yavumilie Hivi sasa ulimwengu upo katika hali ngumu na mitihani mingi ya vizazi hivi ni jangaa kubwa litokalo na ujahilia na ukosefu wa maadili ya kijamii, kwa hiyo KAZI na WAJIBU wa viongozi wa Dini(faith leaders) wawe na SUBIRA na hekima za kuelekeza wafuasi wao njia timamu na heshima inayohitajika...... Busara na uvumilivu ndo pahala pake kutumika. Siyo kukurupuka na kutumia FORCE.... hapo sasa umekwisha poteza Mama, mke, binti na siajabu Mwalimu au hata mlezi. TAKE CARE

Soma injili ya Yohana 2:13-17

..."Wivu wa nyumba yako utanila"...

C.C Mzee Mwanakijiji.
 
Last edited by a moderator:
kumbe alivaa nusu uchi kanisani! hamna mbaya, wao kanisani si vibaya kuvaa unavyojisikia. waache wazikane wafu kwa wafu...
 
mwehu kweli huyo dada,eti MUNGU haangalii mavazi,hivi kweli ana akili huyu??,hajui kwamba wanaume wengine wanaweza kupata mfadhaiko kupitia mavazi yao na hivyo kuharibu lengo la kuabudu lililowapeleka kanisani??,akili zingine bwana,eti anaona ameonewa,MUNGU yupi anayeruhusu kuvaa mavazi yanayokwenda kinyume na maadili??

wenyewe wanasema kizazi cha fesibuku (dijitali)
 
wakatoliki wanashangaza sana local radio zao baada ya kusalisha rozari wanapiga mugongomugongo na alaji,

kanisani kwao wamejaza masanamu na kuyaabudu jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu.

Wanamuabudu mungu mke wanamuita mama kanisa [yezebeli] ila wao wamemtungia jina wanamuita 'mama bikira maria'

Angalia ghafla na sherehe zao ni mtindo wa lager kwa kwenda kia mpaka askofu tena wanaziombea kabisa,

Wamebadili amri kumi za Mungu ukisoma kitabu cha KUTOKA zile amri ni tofauti na walizojiundia wao,

Hawatumii Biblia na hata waumini wakienda nazo ni bure wanatumia kitabu chao kinaitwa misali ya waomini ambayo masomo waliopanga vatican ndo hayo tu watakayosoma ambayo ni 2% tu ya Biblia nzima.

Hakuna kumpelekea maombi Mungu lazima umpelekee mama kanisa kwanza walifukua mifupa yake na kujidanganya eti amepaa mbinguni,

Wanaabudu wafu na kufanya ibada za kuwaomba mizimu wao wanawaita watakatifu jambo ambalo ni kinyume kabisa cha NENO.
Wanaenda kuwanyenyekea na kuwaomba toba wanadamu tena wa dhambi wa kawaida kabisa eti wawaondolee dhambi.

nikija kwenye hili sakata siungi mkono watu kuvaa nguo zisizo na heshima ila Yesu alikuja kwa waliopotea alijichanganya na makahaba, majambazi na mafisadi hakuwahi kuwahukumu bali aliwapa NENO ambalo lilibadilisha maisha yao,

sehemu kama kanisa sio kwaajili ya waliohaki bali waliopote pale ndo mahala pa kuwakusanya waasherati, machangudoa walevi, wezi, waongo na wenye dhambi wote ili wapewe NENO la uzima hivyo wangetumia mwanya huo kuwahubiria namna ya kuvaa kwa staa na sio kuwafukuza,

kwani Yesu alikuja kutafuta kilichopotea tena akasema utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru,

wakatoliki badilikeni na wewe mkatoliki unaefikiri unamwabudu Mungu wa kweli katika Roho na Kweli jitafakari usijekuwa unaabudu kinachoabudiwa vatican ambacho ni chikizo mbele za Mungu.
 
Ablessed, kutawekwa viyoyozi vya kutosha ili kuhakikisha waumini hawateseki na joto la kutisha.
Wakisema tuvae hivi lazima tuandamane walah. Huku kijijni kwetu hata umeme hakuna si watatuua. Labda huu mpango wa kukusanya 1000 ya SIM card kila mwezi utasaidia nasi kwetu umeme ufike.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wakatoliki wanashangaza sana local radio zao baada ya kusalisha rozari wanapiga mugongomugongo na alaji,

kanisani kwao wamejaza masanamu na kuyaabudu jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu.

Wanamuabudu mungu mke wanamuita mama kanisa [yezebeli] ila wao wamemtungia jina wanamuita 'mama bikira maria'

Angalia ghafla na sherehe zao ni mtindo wa lager kwa kwenda kia mpaka askofu tena wanaziombea kabisa,

Wamebadili amri kumi za Mungu ukisoma kitabu cha KUTOKA zile amri ni tofauti na walizojiundia wao,

Hawatumii Biblia na hata waumini wakienda nazo ni bure wanatumia kitabu chao kinaitwa misali ya waomini ambayo masomo waliopanga vatican ndo hayo tu watakayosoma ambayo ni 2% tu ya Biblia nzima.

Hakuna kumpelekea maombi Mungu lazima umpelekee mama kanisa kwanza walifukua mifupa yake na kujidanganya eti amepaa mbinguni,

Wanaabudu wafu na kufanya ibada za kuwaomba mizimu wao wanawaita watakatifu jambo ambalo ni kinyume kabisa cha NENO.
Wanaenda kuwanyenyekea na kuwaomba toba wanadamu tena wa dhambi wa kawaida kabisa eti wawaondolee dhambi.

nikija kwenye hili sakata siungi mkono watu kuvaa nguo zisizo na heshima ila Yesu alikuja kwa waliopotea alijichanganya na makahaba, majambazi na mafisadi hakuwahi kuwahukumu bali aliwapa NENO ambalo lilibadilisha maisha yao,

sehemu kama kanisa sio kwaajili ya waliohaki bali waliopote pale ndo mahala pa kuwakusanya waasherati, machangudoa walevi, wezi, waongo na wenye dhambi wote ili wapewe NENO la uzima hivyo wangetumia mwanya huo kuwahubiria namna ya kuvaa kwa staa na sio kuwafukuza,

kwani Yesu alikuja kutafuta kilichopotea tena akasema utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru,

wakatoliki badilikeni na wewe mkatoliki unaefikiri unamwabudu Mungu wa kweli katika Roho na Kweli jitafakari usijekuwa unaabudu kinachoabudiwa vatican ambacho ni chikizo mbele za Mungu.
Mkuu hayo unayoyaeleza kuhusu wakatoliki una uhakika nayo kweli. Naona uko biased na ukatoliki , pengine ungekua neutral ungeweza kueleza vizuri zaidi. Je umewezaje wewe binafsi kuishi kitakatifu bila kutangaza na watu wakapenda na kuiga maisha yako. Kama unauhakika na ulichoandika je wewe kama mfuasi mwema wa Kristo umefanya nini kuwasaidia. Napenda kusema tu kua nauheshimu mchango wako japo sikubaliani nao ubarikiwe sana.
 
Sijui kama macho yangu yanan'danganya, mbona kwa kumtazama anaonekana kutokutakiwa kuwa na ushindani na vishindo hivyo?
 
Back
Top Bottom