Mkuu tofautisha Nguo na CM nguo ukishaivaa utaakuwa unajiangalia kila.wakati?
Mkuu hii ni kweli tupu, niliishuhudia last year US!hii addiction ya smart phone siyo bongo tu..,ni globally. Tena sie hapa bongo bado hakuna walevi wa smartphone kama baaadh ya nchi zilizoendelea kama USA.,Australia, Hongkong, UK na nyingnezo..,Kama mmekuwa mkifuatilia media wenzetu huko wanalala nje kwenye foleni kwa siku mpaka tatu wakisubiria ingizo jipya la smartphone ( Iphone 6 & Iphone 6 plus) kwa mwaka huu. Ila nina shaka kidogo kwenye matumiz kama nao huwa wanashinda mda mwingi kwenye whatsap kutuma ujinga kama wengi hapa bongo wanafanya
Ni taabu tupu sijui baadae waanzishe elimu ya matumizi sahihi ya mitandao na madhara nafikiri itakua boraYaani kila anayepiga picha akaona nzuri anaanika mtandaoni. Mbaya zaidi wadada zangu, picha inayoonesha maungo vzr ndo anatupiaaaa! Mmmh kaaazi haswa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mvumbuzi wa smart phone ni mchawi kwasababu kawafanya watu ku concentrate kwenye smart phone!? This is poor thinking, mbona huzungumzii aliyegundua nguo ambazo tunakuwa nazo mwilini muda mwingi (usiku tumejifunika, na mchana tumevaa)?
Asante sana Dawa yenu as hakika ulichoandika ni dawa haswaa!Hii hoja yako imeonyesha uwezo wako wa kufikiri ulipoishia. Hivi unajua nini kuhusu tamadhali za semi? Hapo ametumia sitiari yaan kamfananisha aliyegundua smartphone na mchawi pasipo kutumia maneno "mithili" "kama" na maneno mengine kama hayo. Mkuu, acha kukurupuka. Lengo la mwandishi lilikuwa ni kutumia fani katika bandiko lake ili maudhui husika yafike bila kuchosha
Hee hii kali sasa, umewahi kufuatilia tatizo ni nini? Manake ingekuwa hivyo kwa wote nazani nchi ingeamua kuweka sheria ya kutumia nokia ya tochi kwa wote! Pole sana best!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hahahaaaa, kuivaa nguo ni sehemu ya matumizi, na hasa kama ukiipenda si inachakalia mwilini?
natumia blackberry Q5 ni smart phone lakini natumia tu kama simu ya kawaida,kuna nini ndani ya hiyo blackberry Q5?
Umefanya jambo la maana as ungeng'ang'ania ungeishia kufali tu. Shikiria msimamo wako, soma kwanza.mm nimeamua kuuza tu natumia cmu simple tu yakuingilia fb kupata vinewz kwasababu ilikuwa nafika kipindi hata sisomi(am student) muda wote whatsup mara instagram bac shida tu
Hii hoja yako imeonyesha uwezo wako wa kufikiri ulipoishia. Hivi unajua nini kuhusu tamadhali za semi? Hapo ametumia sitiari yaan kamfananisha aliyegundua smartphone na mchawi pasipo kutumia maneno "mithili" "kama" na maneno mengine kama hayo. Mkuu, acha kukurupuka. Lengo la mwandishi lilikuwa ni kutumia fani katika bandiko lake ili maudhui husika yafike bila kuchosha