Aliyetengeneza Smart phones ni mchawi mkuu duniani!

Smart phone nzuri sana kupitia hizi kitu unakuwa updated mnoo, pia unaijua dunia na mambo yake vizuri kabisa, kwa kifupi hazirudishi maendeleo nyuma labda wewe mwenyewe unazitumiaje hapo ndio ishu afu sio kila muda tu kufanya kazi kuna muda una refresh Smart phone inakupa burudan hiyo kwa kuchek video kadhaa za aina yyt through you tube na vingine pia video za ujasiliamali utazipata humo yaan Smart phone inarahisisha mambo Smart phone ina save time pia badala ya mtu kwenda cafe kuandika na kutuma emails za applications e. t. c Smart phone inamaliza vyote hivyo so ni jinsi tu ya muhusika anavyoamua yeye mwenyewe awe kwenye negative side au positive side
 
Best umeandika positive tu, ila most of people wana fall in negative, believe me or not.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
I believe mkuu tena mnoo shida ni sisi wenyewe kuzitumia negatively lengo la smart phone ni zuri ila sisi watumiaji ndio shida,, all in all nimekupata naunga mkono hoja
 
Siku hizi hata mkikutana kwenye mjumuiko wa marafiki/wanafamilia, badala ya kuongea kila mtu kang'ang'ana na simu! Maharusini usiseme...
 
Umeona eeeh! Yaani hata hapa nipo dukani, lakini nilivyong'ang'ania huu msmart phone wangu wa kichina, daaah mpaka najishangaa.
Huu ni uchawi wa kisasa, mtu unajiroga mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
it depends na akili ya mtu kama ww ni kibendera fuata upepo ni kwel smartphone itakupotezea muda, KUJITAMBUA RAHA SANA
 
Mimi nimerudi kwenye nokia za tochi kila toleo lazima nitanunua lakini sio smartphones
 
Siku hizi hata mkikutana kwenye mjumuiko wa marafiki/wanafamilia, badala ya kuongea kila mtu kang'ang'ana na simu! Maharusini usiseme...

Hata kwenye ajali badala ya kuwaokoa waathirika watu wanapiga picha tu
 
Hizi smart phones ni addictive sana, bora nimerudi kwenye nokia tochi....
 
Hahahaha kiswahili kina mengi sana
Tunakiharibu wenyewe ila Kiswahili kina radha mujarabu hasa ukiwa unakipatia vyema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hizi smart phones ni addictive sana, bora nimerudi kwenye nokia tochi....
Ka nokia tochi wanauza sh.ngapi cku hizi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ka nokia tochi wanauza sh.ngapi cku hizi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Haka kangu nilikapata kwa elfu 30........siumizi kichwa kuhusu chaji ni wiki nzima kanatunza chaji.
 
Kuna jamaa yangu ni mtaalamu wa mambo ya computer na it hajawah kuwa na account yeyote ya fb, twitter wala insta na bado yuko poa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom