Habari zenu waungwana wa jukwaa la mmu, Naamini jukwaa hili kama litaendelea kutumika vizuri litakuwa ni msaada kwa wengi, wanaume na wanawake. Kupitia hapa nimejifunza mambo mengi ambayo mengine huwezi yapata ukiwa shuleni. Kwa mara ya kwanza najitokeza kitafuta msichana ambaye yuko tayari kuwa mchumba na hatimaye mke. Sifa zake: awe mkristo, asiyetumia kilevi, mweupe, na umri miaka kati ya 22 - 26. Mie umri wangu ni miaka 29 na ni mwanafunzibwa shahada ya pili, naishi dsm. Please ni kwa walio serious tu, waweza ni pm tuwasiliane. Mambo yakienda vizuri nitatumia jukwaa hili hili kurejesha shukrani.