Hongera sana kamanda
CHADEMA wanawakaribisha kama wanachama tu. Mambo mengine wakitufaa tunawatuma!
By the way, sasa hivi ccm wamebakiwa na wanachama wangapi? Maana ule mtaji wa milioni tano ushakatika sasa!
Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
Hapo hamna cha utetezi, ndio hali halisi. Kama unaona competitor wako yupo strong na huwezi kumdefeat wala kumjoin, then the best option ni kukimbilia kwenye weak side!!
Mkuu hayo yote ni maneno ya mkoswaji na janja ya sungura ya "sizitaki mbichi hizo" baada ya kuona hana jinsi ya kuzifikia.Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
Kuna siku Wassira alikimbizwa sana na wananchi pale Bunda sijui kama amesharudi tena??
Yule jamaa ana mbio sana msimuone vile kama zezeta!!
Bw Jeremia Maganja alichuana vikali na Mzee Wassira katika uchaguzi wa 2010 Amevuagamba na kuvaa gwanda tarehe 5/5/2012 mjini bunda.
Ilikua ni katika kikao cha ndani cha BAVICHA pale alipoomba kuingie ndipo katibu wakikao hicho bw Frank Kubwera alipomuomba awape sababu zakuingia ktk kikakao cha CHADEMA ikiwa yeye ni GAMBA.
Ndipo Maganja aliposema yuko hapo kuomba uanachama wa CHADEMA. WAJUMBE wakaafiki apewe uanachama akapewa kadi ya CDM na kadi yake ya CCM itachomwa moto hadharani katika mkutano wa hadhara hivi karibuni.
Majeraha ya kushindwa kwenye uchaguzi yatapeleka mamluki wa kutosha CDM.
Heeeeeeeeeeeeee! kumbe ushatoka jela Mkuu!
Nilijua huo ndio utetezi wenu magamba!
Acha magugu yakuwe pamoja na ngano! Lengo ni kupata ushindi 2015. Baada ya hapo magugu yatachambuliwa na kutupwa motoni, na ngano itatiwa ghalani!Majeraha ya kushindwa kwenye uchaguzi yatapeleka mamluki wa kutosha CDM.
Ha ha ha ha ha hata huko France Chama rafiki na ccm kimeangukia puaEndeleeni kuchukua waliokataliwa ccm hongereni sana kwa kutuondolea magamba