Aliyetaka kumung'oa Wassira katika kura za maoni CCM ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyetaka kumung'oa Wassira katika kura za maoni CCM ahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhera, May 7, 2012.

 1. n

  nyabhera JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Bw Jeremia Maganja alichuana vikali na Mzee Wassira katika uchaguzi wa 2010 Amevuagamba na kuvaa gwanda tarehe 5/5/2012 mjini bunda.

  Ilikua ni katika kikao cha ndani cha BAVICHA pale alipoomba kuingie ndipo katibu wakikao hicho bw Frank Kubwera alipomuomba awape sababu zakuingia ktk kikakao cha CHADEMA ikiwa yeye ni GAMBA.

  Ndipo Maganja aliposema yuko hapo kuomba uanachama wa CHADEMA. WAJUMBE wakaafiki apewe uanachama akapewa kadi ya CDM na kadi yake ya CCM itachomwa moto hadharani katika mkutano wa hadhara hivi karibuni.
   
 2. k

  kibelaa Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vua gamba vaa gwanda...... Nnape upo ?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Karibu Kamanda Jeremia Maganja!
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Nape issue kama hizi anazipotezea kweli kweli!!!!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ngoja akina Ritz, Rejao (Banned), Ribosome, Mafilili waje kujitetea.

  Wao wanatembea na mapanga kuwakata shingo makamanda wetu, sisi tunasonga mbele kuipeleka ccm kaburini.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
  :bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Majeraha ya kushindwa kwenye uchaguzi yatapeleka mamluki wa kutosha CDM.
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Karibu kundini soma katiba ya chadema na kuwa tayarikuleta mabadiliko nji hii
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Heeeeeeeeeeeeee! kumbe ushatoka jela Mkuu!
  Nilijua huo ndio utetezi wenu magamba!
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nape akivua Gamba atavaa chupi ya CCJ, huko kwenye Magwanda hatopaweza kwa sababu uwezo wake wa kufikiri una kansa ya ubongo. Gamba limeng'ang'ania kichwani na ameambiwa kuwa lidondoka lwenye na litaangukia CCJ
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wanawakaribisha kama wanachama tu. Mambo mengine wakitufaa tunawatuma!

  By the way, sasa hivi ccm wamebakiwa na wanachama wangapi? Maana ule mtaji wa milioni tano ushakatika sasa!
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli basi hii habari si nzuri kwa Wassira hata hivyo nasikia Wassira hagombei tena.
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Rejeo yuko hai
   
 14. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kauli mbiu ya vua gamba vaa gwanda ni nzuri sana kwani imemfunga domo nepi hana cha kusema tena
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Endeleeni kuchukua waliokataliwa ccm hongereni sana kwa kutuondolea magamba
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aje kabula pazia halijafungwa
   
 17. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi siamini kuwa kila aondokaye CCM ni gamba labda kama unamaanisha CCM nzima ni magamba. Vilevile siamini hata kidogo kwamba wote wanaojiunga na CDM wamekataliwa CCM. Kuna wananchi wenye uchungu wamaeamua kuhamia CDM kwa kuwa hawaoni hatu yoyote ya maana wana CCmmmm wanayoipiga
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo hamna cha utetezi, ndio hali halisi. Kama unaona competitor wako yupo strong na huwezi kumdefeat wala kumjoin, then the best option ni kukimbilia kwenye weak side!!
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kamanda
   
 20. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Kama hii ndio the best option yako kwa mujibu wako mwenyewe, basi kwaheri, ngoja tu nipite fasta hapa.
   
Loading...