Aliyetaka kumung'oa Wassira katika kura za maoni CCM ahamia CHADEMA

Hapo hamna cha utetezi, ndio hali halisi. Kama unaona competitor wako yupo strong na huwezi kumdefeat wala kumjoin, then the best option ni kukimbilia kwenye weak side!!

Rejao,
You mean Wassira is so strong that way? The Answer is NO!
As we all know you can't find some one strong in CCM!
The guy has seen the better option was to join the very strong team! And definitely CHADEMA has made it through!

Pole sana Rejao kwa kuendelea kujipa matumaini kama ya askari wa Saddam!
 
kwa nini asingekuwa banned for life anaboa sana!!!

Mwache tu aendelee ku enjoy jf. Huwa tukizikosa pumba zake kuna bore sana humu! It's good he has been released!
Iko siku atajiunga na timu ya ushindi ya CHADEMA. Si unawajua akina FF na Mwita25 wamejiunga na timu ya wapambanaji sasa japo wanatumia ID zingine!
 
Heri wavuao magamba kungali adhuhuri na ole wao wasubirio magharibi ifike
 
Bw Jeremia Maganja alichuana vikali na Mzee Wassira katika uchaguzi wa 2010 Amevuagamba na kuvaa gwanda tarehe 5/5/2012 mjini bunda.

Ilikua ni katika kikao cha ndani cha BAVICHA pale alipoomba kuingie ndipo katibu wakikao hicho bw Frank Kubwera alipomuomba awape sababu zakuingia ktk kikakao cha CHADEMA ikiwa yeye ni GAMBA.

Ndipo Maganja aliposema yuko hapo kuomba uanachama wa CHADEMA. WAJUMBE wakaafiki apewe uanachama akapewa kadi ya CDM na kadi yake ya CCM itachomwa moto hadharani katika mkutano wa hadhara hivi karibuni.

Karibuni sana CDM lakini tunawaomba msiwe mnaenda kuingilia vikao vya chama vinapokuwa vinaendelea na kuomba uanachama, nendeni kwenye matawi au jiungeni katika mikutano ya hadhara

tena kwa wale high profile magamba, anzieni kwenye ngazi za chini msianzie kwa viongozi wa kitaifa au kimkoa kwa vile akili zenu ni mbovu sana ndio maana mkawa viongozi kwenye chama cha magamba, hamhitaji red carpet kuingia cdm
 
Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:

kamanda. mkt wa ccm alipoteza 1995. abraham licolyn alipoteza mara kibao tu. michael sata mara 4. wasira wako mara 2" hizo ndo alharakat ya siasa
 
anateleza yule huwezi kuamini. anakimbia si kidogo.

siku alokimbizwa ilikua tarehe 11/1/2012?alikua ma mkuono ililipotiwa na tanzania daima ya 13/1/2012" AKA yake ni TYSON
 
Bw Jeremia Maganja alichuana vikali na Mzee Wassira katika uchaguzi wa 2010 Amevuagamba na kuvaa gwanda tarehe 5/5/2012 mjini bunda.

Ilikua ni katika kikao cha ndani cha BAVICHA pale alipoomba kuingie ndipo katibu wakikao hicho bw Frank Kubwera alipomuomba awape sababu zakuingia ktk kikakao cha CHADEMA ikiwa yeye ni GAMBA.

Ndipo Maganja aliposema yuko hapo kuomba uanachama wa CHADEMA. WAJUMBE wakaafiki apewe uanachama akapewa kadi ya CDM na kadi yake ya CCM itachomwa moto hadharani katika mkutano wa hadhara hivi karibuni.

Hizi ndizo hatua zinahitajika kwa sasa. Safi sana kamanda, hakika imani yako imekuponya!
 
Karibu sana kamanda huku kwenye haki zaidi,mpaka 2015 sehemu kubwa ya Magamba watakua wamehamia Chama la wanaume
 
heshima mkuu! Kama vile ulipotea fulani hv humu jamvini! Enewei karbu 2endeleze mapambano kwani w huwa ni sumu ya hawa pro-ccm wa humu jf.

Shardcole@Tabora 1

Molemo alikua Lock Up bana, Long live kamanda.
 
Jeremiah Maganja nae ni mali kwa Chadema ? AMA kweli Chadema ni kiwanda cha makapi. Mona hamukumuulia Kati ya kura 23000 za maoni alipata ngapi? Kisha mjiulize ni kweli alimsumbua Wasira au alikuwa anamsindikiza?

Yeye ameomba tu kuwa mwanachama na amepokelewa na kupewa kadi, hayo mengine unayoyasema Waingereza huwa wana msemo wao unaoenda namna hii, "You are making a mountain out of a mole hill".
Hakuna yeyote aliyesema kwamba huyu jamaa anaomba kugombea nafasi fulani wala nini, ni mwanachama mpya tu wa kawaida.
 
Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:

Rejao always they become looser baada ya kuhama?Mbona wasira alipohamia CCM hakumwita Looser?
 
Maisha safari ndefu sana Leo huyu jamaa aliyejiunga na CHADEMA 2012 ni Kaimu M/kiti chama cha ACT WazalendoTaifa.
 
Back
Top Bottom